Nashukuru nimemaliza hii kesi na wife - Vijana okoteni mpate kujifunza


usiwe unatoa siri za kambi tutakuvua uwanachama
 
Mkeo amezeeka ila aisee ingekuwa mimi ningetaka ushahidi kama ni kweli aisee maana haya maisha mmh niyakuangalia
 
hakuna mwanamke ea kileo utamdanganyabkwa uongo huo
 
Tutachukuaje pointi wakati hatuwezi kuweka kondomu kwenye droo ya dalala! Haya hivyo umetufundisha tukioa tuwe waongo kwa wake zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…