Nashukuru Mungu Tanzania tuna Membe

Kwa utambulisho huo wa KAMUNDU sijui unataka tuchangie nini ?

Hakuna tofauti na mimi nikisema namshukuru Mungu familia yetu kuwa na mzee Mikosoferendo chimbuli (mjomba wake mama mzazi)...ana busara sana, upendo, anajali, ametusomesha kwa kutumia utajiri wake wa ng'ombe...blah...blah...blah...blah...

Kukata stori iwe fupi, hebu njoo tena na uzi wako ukiwa na utambulisho RASMI tukufahamu, ili iwe rahisi kwetu kufanya tathmini kwani inatuwia ngumu kujua wewe ni mpwa wake, mtoto wa kambo, ulikuwa houseboy wake akakuunganishia job mahali, alikuwa karibu na mama mzazi nawe ukajikuta unanufaika naye....

Otherwise kila mtu akitumia jukwaa kusifia mashemeji na baba wadogo jamvi litaelemewa aise.
 

kIONGOZI ACHA UJINGA MKUU! KAMA BBC KWAKO NI MUHIMU ULIKUJA KUFANYA NINI HAPA JF? NA WEWE SI UNGEAMKA NA BBC,KIFUPI WEWE NA MLETA UZI WOTE MMEAMKIA JAMII FORUM,UZI UMELETWA NAWE UKAUONA UKAJIBU! WHAT ''GOES AROUND COMES AROUND''
 

ungekuwa mwanafunzi una zero ,umeshindwa kuelewa pointi yangu,imetokana na kuwa membe ana credibilty gani mpaka kuwa candidate? Nikauliza mkapa alifanya nni kilichotukuka akiwa waziri mapaka akawa candidate wa ccm? Sio alichofanya mkapa akiwa rais! Ushauri mkuu kuna clinic imeanzishwa ya kuchuja kinyesi na kubakisha ubongo amba ni pure! Kama vipi ungeenda kupata huduma ni bure hamna malipo.
Kifupi mimi sio ccm lakini namkubali sana membe!
 
ukana shilungo,
kwanini umemtaja mkapa na sio jk? Ni kwavile mkapa na membe wote ni wanatoka kusini, au?
mkuu sio kwa sababu ya regionalism,ila tu nimejisikia kurejea ,kurefer kwa mkapa,kwani walio wengi waliponda sana mkapa alipotangaza nia ya kugombea urais,hakuna aliyefikiri kama angewaza kuwa candidate wa ccm,hakuwa miongoni mwa wanasiasa waliokuwa wanafikiriwa kuwa rais,hiyo ndio sababu mkuu!
 
Tunaomba utumie kiswahili kama hiyo lugha ya watu haipandi vizuri ndugu. "Proving" inamaanisha nini kwako? Hueleweki!!
 

Nimefungua uzi nikidhani umetaja maembe, kumbe unamuongelea huyu mkurupukaji..!?
 
Kwani ni nchi ya kifalme hii mpka apewe maembe? Sam luhanga akimaliza mwambie apitishe jina la mdg wake aone, wote wanafanana ndo ataipoteza kabisa nchi
 

Unatia huruma sana mtu wako wala hauziki maskini,mbaya zaidi hana mvuto.nakushauri soma alama za nyakati.El ndo rais ajaye we mwenyewe angalia hadi wapinzani wanamkubali.
 
Wewe Ukanya shilungo ndio huna ubongo kabisa!! Kwa hiyo kama tulikosea kumpa Mkapa ndio tusijirekebishe? Acha ulofa jibu hoja sio kutoa visa vya uke wenza hapa. Oooh Mkapa kapewa na mimi nipewe!!! Utaliwa ohooooo
 

Unatafuta mgogoro na magamba wenzio!
 
hajasema kuwa mganga wake amemwotesha kama siku akioteshwa labda mimi nimemwotea kua hafai hata kuongoza wizara hiyo kwani ile kashifa ya kuiba zile hela imeishia wapi?
 
Nimefungua uzi nikidhani umetaja maembe, kumbe unamuongelea huyu mkurupukaji..!?

Mkuu, huyu Membe Ni fisadi mkubwa kajenga mihoteli ya Naf Blue kule Mtwara, afu hatumii jina lake katika umiliki WA hizo hoteli. SWALI : Hizo hela Membe ametoa wapi?, Je kweli uwaziri unalipa kiasi hicho?
 
 

Multiple ids or?? Mkuu ndege warukao pamoja hufa pamoja! Membe na jk ni marafiki wa karibu na ni watoto wa mtu mmoja, hawataki kuusema ukweli tu! Hatuwezi kuitumbukiza nchi yetu kwenye matope kwa mara ya pili! Acha tujisafishe haya tuliyoyaoga kwanza. In short akili za membe na jk ni sawa na upuuzi wao ni ule ule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…