Nashukuru mungu Tanzania tuna kiongozi Membe ambaye ni serious, anaelewa mambo kwa undani, ana uzoefu wa ukweli, anaona mbali na anajua Tanzania inahitaji nini kujiendeleza. Kwenye dunia ya sasa ya technologia Tanzania inaweza kuendelea haraka sana kama ikipata kiongozi kama Membe ambaye anajua dunia inapoenda mfano sasa hivi kuna watu India wanafanya kazi za account za kampuni za Canada!, Bank ya marekani lakini customer service ipo Agentina. Kazi za miaka ijayo hazitatokana na kuchukia Wakenya na wahamiaji kwani mtu yeyote anaweza kufanya kazi sehemu yeyote duniani kama kuna mawasiliano na ujuzi wa uhakika. Gas yetu vilevile inahitaji mtu anayejua mambo kwa undani badala ya ushabiki wa wanasiasa wengi wa sasa. Tanzania inahitaji raisi mjuzi na anayejua mfumo wa uchumi, banking system ya kisasa, uhamiaji na solution za kisasa. Kwa mawazo yangu baaada ya kusikiliza na kuongea na vi0ongozi wengi akiwemo Sumaye, Lowasa, Kikwete, Sitta, magufuli, sefue, Nyalandu, Mbowe, Zitto na nikizingatia mambo yote Membe ndiyo naona anafaa kuwa raisi wa Tanzania kwa kipindi hiki na atakuwa raisi kwasababu Tanzania haitaweza kupita hii nafasi. Hana washabiki lakini ni kiongozi makini

Tupe data ndugu na sio porojo. Huyu Unayempigia debe amefanya mambo gani Kwa taifa letu yanayompa sifa ya kuwa Rais wa nji hii
Nashukuru mungu Tanzania tuna kiongozi Membe ambaye ni serious, anaelewa mambo kwa undani, ana uzoefu wa ukweli, anaona mbali na anajua Tanzania inahitaji nini kujiendeleza. Kwenye dunia ya sasa ya technologia Tanzania inaweza kuendelea haraka sana kama ikipata kiongozi kama Membe ambaye anajua dunia inapoenda mfano sasa hivi kuna watu India wanafanya kazi za account za kampuni za Canada!, Bank ya marekani lakini customer service ipo Agentina. Kazi za miaka ijayo hazitatokana na kuchukia Wakenya na wahamiaji kwani mtu yeyote anaweza kufanya kazi sehemu yeyote duniani kama kuna mawasiliano na ujuzi wa uhakika. Gas yetu vilevile inahitaji mtu anayejua mambo kwa undani badala ya ushabiki wa wanasiasa wengi wa sasa. Tanzania inahitaji raisi mjuzi na anayejua mfumo wa uchumi, banking system ya kisasa, uhamiaji na solution za kisasa. Kwa mawazo yangu baaada ya kusikiliza na kuongea na vi0ongozi wengi akiwemo Sumaye, Lowasa, Kikwete, Sitta, magufuli, sefue, Nyalandu, Mbowe, Zitto na nikizingatia mambo yote Membe ndiyo naona anafaa kuwa raisi wa Tanzania kwa kipindi hiki na atakuwa raisi kwasababu Tanzania haitaweza kupita hii nafasi. Hana washabiki lakini ni kiongozi makini
Mkapa kabla ya kuwa rais alifanya jambo gani lilitukuka? zaidi ya kuwa waziri kwa nyakati tofauti kama membe!jaribu kuhusisha ubongo wako unapoandika! kenge mkubwa!
Ukana Shilungo,Mkapa kabla ya kuwa rais alifanya jambo gani lilitukuka? zaidi ya kuwa waziri kwa nyakati tofauti kama membe!jaribu kuhusisha ubongo wako unapoandika! kenge mkubwa!
Una kumbukumbu gani kuhusu umaarufu wa neno MIZENGWE?Acha kutoka povu la dawa ya mswaki asubuhi asubuhi....Hivi kwa akili yako unaweza kulinganisha uzoefu wa mkapa kipindi amejitangaza kugombea urais na huyu Membe au sijui Maembe!! unajua tosha alichofanya mkapa...baada ya kupewa nchi....!! Mkapa alisimama kwa credit zake mwenyewe ndio zilimfikisha pale ailpokuwa....na akafanya yake...huyu anapaswa nae ajibebe si nyiinyi kumbeba...!! lete credit za membe hapa sio kulinganisha na mtu mwingne sio kuishiwa hoja.....eti mbona fulani nae hakufanya hivo basi na yeye hakufanya hivo unaongea utafikiri watoto wanaodeka kwa wazazi wao.....!!!!eti mbona fulan yy kafanya hvi na itakuwa hivo....!! hajawai kuni-inspire huyo membe wenu.....aende zake....nasema wazi membe si mwanasiasa...aliekomaa kwa maana hiyo ana siasa za chuki, kisasi, naaapia akiamungu atatupeleka pabaya....huyu...sio tu kwa weledi mdogo bali pia kwa kusema wazi ana maadui fulani ikiwemo na ...waandishi wa habari...!!hajui ni watu wote na wapiga kura wake