Nashukuru Mungu sikusoma na kuwa mwalimu

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,198
Katika kazi niliyokuwa naipenda kweli kweli basi ni uwalimu, hta pale nilipokuwa nasoma ndoto zangu zilikuwa siku moja nije kuwa mwalimu.

Nilipomaliza tu elimu yangu direct nikaaply education nikachaguliwa.

Kitu ambacho kilinishtua ni kwamba muda ambao nasubiri kwenda chuo nilikuwa kwa brother na bro alivyoniuliza nilimueleza nia yangu ya kusomea uwalimu.

Alinicheki kwa dharau alafu akanizaba kibao kimoja matata na kuniuliza umeshawahi kumuona mwalimu mwenye VX, au ata land cruiser aliyonunua akiwa kazini?

Nikamjibu hapana ?

Akaniuliza tena umeshawahi kumuona mwalimu alieyejenga nyumba ya kueleweka akiwa kazini?

Nikasema hapana.

Akasema basi achana na hilo wazo lako mfu jioni huyo kanipakiza kwenye mgari wake nasema mgari kwa sababu ni gari siyo ki vitz akanipeleka chuo na kuchukua moja kati ya kozi ya afya mukide kabisa.

Japo mpaka leo ajira hazijatoka ila napiga zangu temporary tu kwa wana leo napiga hapa kesho pale siku zinaenda ningesomea uwalimu sijui hiyo temporary ningepigia wapi na wakati sasa hivi elimu bure.
 
Unaijua bei vx v8 wew kuwadharau walimu tuu haya umesomea taaluma nyingine tuoneshe vx lako au la kaka yako kununua hayo magari mpka uwe kwenye system na ukwibe kweli kweli ndo ununue au ufanye business ya maana sio kwa mshahara direct haya nenda kaoshe vyombo vya blaza ako vinakusubiri
 
Kuwa mpole Mwalimu
 
Katika kazi niliyokuwa naipenda kweli kweli basi ni uwalimu, hta pale nilipokuwa nasoma ndoto zangu zilikuwa siku moja nije kuwa mwalimu.

Nilipomaliza tu elimu yangu direct nikaaply education nikachaguliwa.

Kitu ambacho kilinishtua ni kwamba muda ambao nasubiri kwenda chuo nilikuwa kwa brother na bro alivyoniuliza nilimueleza nia yangu ya kusomea uwalimu.

Alinicheki kwa dharau alafu akanizaba kibao kimoja matata na kuniuliza umeshawahi kumuona mwalimu mwenye VX, au ata land cruiser aliyonunua akiwa kazini?

Nikamjibu hapana ?

Akaniuliza tena umeshawahi kumuona mwalimu alieyejenga nyumba ya kueleweka akiwa kazini?

Nikasema hapana.

Akasema basi achana na hilo wazo lako mfu jioni huyo kanipakiza kwenye mgari wake nasema mgari kwa sababu ni gari siyo ki vitz akanipeleka chuo na kuchukua moja kati ya kozi ya afya mukide kabisa.

Japo mpaka leo ajira hazijatoka ila napiga zangu temporary tu kwa wana leo napiga hapa kesho pale siku zinaenda ningesomea uwalimu sijui hiyo temporary ningepigia wapi na wakati sasa hivi elimu bure.
So unashauri Taifa lisiwe na walimu?
Kwamba ualimu Hakuna umuhimu haha haha kama wote watasoma wakawa na mawazo ya kupata vx basi Hakuna maana ya Maisha na hujui maana ya maisha (hujui kwanini unaishi) jitafakari
 
Tatizo sio VX pekee mkuu tatizo na stress zao msimu huu si mchezo cjui ningekuwa mwalimu leo hii ningekuwa na hali gani?
 
Waalimu wengi wamekata tamaa, hata mawazo yao ukiwasikiliza wanawaza kupata shavu either kwenda kusaisha mitihani au kusimamia mtihani wa NECTA.

Ukimkuta kazini hana issue ya maana anayowaza ila mfukoni empty utakachokiona zaidi ni majina ya wapiga kelele au wachelewaji.
 
Walimu wanastress sana aseee nawaonea huruma sana yaani walimu wenye magari ni walimu wakike tu mfano mzuri ni walimu wa shule ya msingi
Stress kwa walimu ndio Nyumbani kwake.
 
Waalimu wengi wamekata tamaa, hata mawazo yao ukiwasikiliza wanawaza kupata shavu either kwenda kusaisha mitihani au kusimamia mtihani wa NECTA.

Ukimkuta kazini hana issue ya maana anayowaza ila mfukoni empty utakachokiona zaidi ni majina ya wapiga kelele au wachelewaji.
Eti majina ya wapiga kelele.
 
Wengi watabisha ila huu ndo ukweli, maisha ya mwalimu, ni uakika wa kula, ila kumiliki vitu vikubwa ni ndoto.

Walimu wengi akijitahidi akajenga na kiduka kidogo, na kivits ingawa kwa mbinde, basssi, haya yote ilikuwa enzi za kikwete.

Hawezi kuwa mwalimu ukawaza mambo makubwa watu wanakubana usitoke stress tupu, maendeleo utayawaza lini?

BTW, nilikuwaga mwalimu, ila kwa kulazimisha sikuwahi kupenda Yale maisha hata mazingira kha, headmaster yeye ndo kama raisi ruhusa hanipi, niende kufatilia vyuo mjini, hataki niende kusoma, form zangu za kwenda masomoni hazisain, nguo anapenda nivae madela, siku nikisema wacha Leo, nivaepo nguo fupi hata kama ni ya heshima, ananiandikia barua ya warning, nilipataga nyumba mbali, nikichelewa hata dakika moja, nakuta kashaweka mstari wakati anajua walimu wote wanaishi shuleni except Mimi.
Nilichokaga hayo maisha, siku moja niliamua nikaacha kazi, nikasepa Chuo coz nyingine, sijawahi kujuta kuacha ualimu kha!
 
Wengi watabisha ila huu ndo ukweli, maisha ya mwalimu, ni uakika wa kula, ila kumiliki vitu vikubwa ni ndoto.

Walimu wengi akijitahidi akajenga na kiduka kidogo, na kivits ingawa kwa mbinde, basssi, haya yote walikuwa enzi za kikwete.

Hawezi kuwa mwalimu ukawaza mambo makubwa watu wanakubana usitoke stress tupu, maendeleo utayawaza lini?

BTW, nilikuwaga mwalimu, ila kwa kulazimisha sikuwahi kupenda Yale maisha hata mazingira kha, headmaster yeye ndo kama raisi ruhusa hanipi, niende kufatilia vyuo mjini, hataki niende kusoma, form zangu za kwenda masomoni hazisain, nguo anaoenda nivae madela, siku nikisema wacha Leo, nivaepe nguo fupi hata kama ni ya heshima, ananiandikia barua ya warning, nilipataga nyumba mbali, nikichelewa hata dakika moja, nakuta kashaweka mstari wakati anajua walimu wote wanaishi shuleni except Mimi.

Good! Ulirudi tena kwenye utumishi? Au unapiga mishe zako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom