Sijaona uhuni wowote hapo mzee.Hii ni kutokana na kuokoka siku kadhaa nyuma.
Kumbe wokovu ni mchakato, si kwamba ukiokoka leo basi leo leo vitendo, kauli, na fikra zinabadilika kwa ghafla. La hasha! Ni mchakato taratibu huku neema ya Mwenyezi Mungu ikikuongoza katika mabadiliko hayo kutoka giza kuelekea nuru.
Nimepunguza matusi, hii ni pamoja na kutenda na kunena. Kauli sasa ni njema; matusi zimepita siku kadhaa hayajanitoka kinywani.
Tena, kupiga kipara misambwanda zimepita siku kadhaa. Pombe na fegi nimeshasahau.
Bangi ndo kabisa sijalipuliza.
Hata nyimbo za kihuni hazina nafasi sasa; nasikiliza nyimbo za kuabudu.
View: https://youtu.be/W5nDAeEWvM0?si=UJe2wiAMk75GZk9n
nzalendo maiko sultan Teslarati Mzee wa kupambania mzabzab Half american Hannah Tate Mkuu MENEMENE TEKERI NA PERESITena, kupiga kipara misambwanda zimepita siku kadhaa. Pombe na fegi nimeshasahau.
Hahahaaa Huyu jomba ms*enge sananzalendo maiko sultan Teslarati Mzee wa kupambania mzabzab Half american Hannah Tate Mkuu MENEMENE TEKERI NA PERESI
oyaa🤣🤣 kwa mawazo haya sahivi kuna mtu alieokoka hapa kweli, tangu kipindi kile yeye ni kusema kuwa kaacha uhuni
View attachment 3165166
Kama mambo yake ndo haya basi lazima aende motoni hata kama ameokoka.nzalendo maiko sultan Teslarati Mzee wa kupambania mzabzab Half american Hannah Tate Mkuu MENEMENE TEKERI NA PERESI
oyaa🤣🤣 kwa mawazo haya sahivi kuna mtu alieokoka hapa kweli, tangu kipindi kile yeye ni kusema kuwa kaacha uhuni
View attachment 3165166
😂 anatupanganzalendo maiko sultan Teslarati Mzee wa kupambania mzabzab Half american Hannah Tate Mkuu MENEMENE TEKERI NA PERESI
oyaa🤣🤣 kwa mawazo haya sahivi kuna mtu alieokoka hapa kweli, tangu kipindi kile yeye ni kusema kuwa kaacha uhuni
View attachment 3165166
Jamaa anakichwa kibovu kweli 😂😂nzalendo maiko sultan Teslarati Mzee wa kupambania mzabzab Half american Hannah Tate Mkuu MENEMENE TEKERI NA PERESI
oyaa🤣🤣 kwa mawazo haya sahivi kuna mtu alieokoka hapa kweli, tangu kipindi kile yeye ni kusema kuwa kaacha uhuni
View attachment 3165166
Kuna watu wana fantasies za ngono hata Shetani hana mamaénzalendo maiko sultan Teslarati Mzee wa kupambania mzabzab Half american Hannah Tate Mkuu MENEMENE TEKERI NA PERESI
oyaa🤣🤣 kwa mawazo haya sahivi kuna mtu alieokoka hapa kweli, tangu kipindi kile yeye ni kusema kuwa kaacha uhuni
View attachment 3165166
Wokovu ni safari ndefu sana utayaona makubwa.Hii ni kutokana na kuokoka siku kadhaa nyuma.