Nashukuru Mungu kwa kunipa uzuri

Mamboz.

Kiukweli nashukuru Mungu kwa kuniumba mzuri na kunipa na shape.

Nimepata maisha connection na vingi kupitia huu uzuri wangu mie.

Kuna yeyote uzuri umekusaidia ?
Zidi kumuomba Mungu akubariki na kukulinda maana hujafa hujaumbika.. In a blink of an eye kila kitu kinaweza kubadilika... Nakuombea...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…