Nashukuru kutunukiwa senior member

Mimi Ni mwenyeji kidogo humu ambapo Leo hii JamiiForums wamenitunuku usenior member.
Kwa sababu ya kufikisha vigezo vyao, imenichukua zaidi ya mwaka mmoja kua senior member maana mda mchache ulio pita nilikua member.
Hivyo nilianza na New member nikawa member sasa Ni senior member hivyo nitakua pamoja na JF kufikia malengo na hata kua mmoja ya wadau wanao lipia jf ili isonge mbele.
Nashukuru kwa Hilo.
Mshukuru Maxence Melo
 
Back
Top Bottom