mwezi mja uliopita niliposti status ya kwamba natafuta mchumba na hatimae tukiendana tutaoana xo nashukuru mungu amejitokeza mchumba ambaye nafikiri atakuwa mtu sahihi kwangu ahsante sana jf
mwezi mja uliopita niliposti status ya kwamba natafuta mchumba na hatimae tukiendana tutaoana xo nashukuru mungu amejitokeza mchumba ambaye nafikiri atakuwa mtu sahihi kwangu ahsante sana jf
wewe utakuwa una matatizo 'upstairs' sio bure asee!!..tatizo miafrika imejaa mawazo ya ngono mda wote!!..
We mbona sikuelewi umekasirika nini? Kwani huamini kama wawezapata mwenza kupitia mtandao? afu unakauli mbaya mno mana kwa kusoma yeye alichoandika na ulichojibu mbona naona wewe ndo haupo sawa upstairs. Grow up and get a life dude.
Sasa je, atanunuaje mbuzi kwenye gunia???Kwhiyo ndoa lini??, au mnazini kwanza
Mkuu naomba ufute kauli yako na uombe radhi, kuna watu washanyanyasika sana kwenye mahusiano na wanaowafahamu so mtu anaamua angalau ajaribu kwa mtu wa keyboard asiyemfahamu na hajaribu huku kwa sababu ni domo zege.JF husaidia madomo zege.
Sasa je, atanunuaje mbuzi kwenye gunia???
Mwezi mja uliopita niliposti status ya kwamba natafuta mchumba na hatimae tukiendana tutaoana so nashukuru mungu amejitokeza mchumba ambaye nafikiri atakuwa mtu sahihi kwangu ahsante sana JF.
Mwezi mja uliopita niliposti status ya kwamba natafuta mchumba na hatimae tukiendana tutaoana so nashukuru mungu amejitokeza mchumba ambaye nafikiri atakuwa mtu sahihi kwangu ahsante sana JF.
Hongera sana Mungu awasaidie mtimize mlilokusudia.