Nashony Mwambande huwezi kuongoza kipindi

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
5,608
Reaction score
7,167
Unaongoza kipindi vibaya sana, unachefua kabisa, unatoa maelezo huku unajichanganya, yaani unadobanga vibaya sana, yaani imebidi nizime redio.

Yaani unajibu sms moja zaidi ya dakika 3.

Nyie viongozi wa bongo fm msimruhusu huyu jamaa kuongoza kipindi, mpeni muda ajifunze kwanza
 
Hayo mambo muwe mnaongelea jikoni au uani. Sisi wanaume tunakosa la kuchangia kabisa. Mnaongea kwa mafumbo na mambo yenu wenyewe ya mipasho. Mnatuchanganya sana. Baadaye mseme hatuwasupport.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom