Display Name
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 423
- 451
- Thread starter
- #21
ulimjua kabisa shemejio samaki hapishi chambo halafu unapeleka mashoga zako kwake?anyway mpe pole dadayako na wewe kuwa mkweli mana ukweli utakuweka huru. sipati picha najua shost wangu anamvurugia ndoa dadayangu!!eti nimfichie siri shosti!NEVER! ningehakikisha shosti anaachana na shen
Hivi ndugu yangu ulitegemea mi niishi bila marafiki coz shem ni mchafu? Najua kwa upande flani roho inaniume nasema ningejua but maisha yangu pia ilikua nilazima yaendelee. Halafu sijambwambia dadangu sio kwa sababu namfichia siri shosti yangu but nahofia maumivu atakayopata dadangu coz alikua ameshasikia mengi. Kukaa kwangu kimya hakukua kwa ajili ya yule msichana, bali sikuwa nimejua nisemeje ili dadangu asiumie, sasa kabla sijapata jinsi ndo na yeye akawa ambeambiwa. Afu mie siwezi kuwaachanisha dadangu na mumewe wala huyo binti na shemu wangu coz si kazi yangu, mie ntatoa ushauri tu afu maamuzi ni juu yao.