Heri lee
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 981
- 538
Heri ya pasaka,
Mimi nilikuwa namfukuzia msichana mmoja hivi kwa muda sana akakataa kabisa nilitumia kila njia bila mafanikio akaniambia ana mtu wake anampenda sana na hawezi kumwacha wametoka mbali.
Nikaendelea zaidi na zaidi nikagonga mwamba alipoona nazidi akanitumia picha akiwa pozi kali na jamaa yake akasema wapendana sana anampenda na yeye anampenda sana nikasalimu amri.
Juzi anasema eti ananiomba ushauri sababu tangu sasa hana amani anahisi mpenzi wake hampendi hatakidogo anaomba ushauri.Nikamtumia screenshots za zile sms zake kuwa wanapenda wote anesema eti alikuwa hajajua.
Ushauri, kama huna usitoe kejeli kaa kimya