Nashindwa kutumia condom

Nashindwa kutumia condom

Usiwa na wasiwasi, ARV zinamaliza wadudu watembeao kwenye damu lakini haina uwezo wa kuuwa wale wanaojificha kwenye chembe hai za mwili. Novemba mwaka huu Australia wametangaza kuwa kwa majaribio waliopewa dawa za kupunguza utemezi wa pombe (alcohol dependence), dawa hiyo imeweze kuamsha virus vilivyokuwa vimelala. Hii ni hatua kubwa katika ufumbuzi wa tiba ya UKIMWI.
 
kama umemuamini hadi kuwa nae faragha sioni sabab ya kutumia condom,hivi kama ukijua kua ni muathirika utashare nae kwa kutumia condom?
 
Jaman kwa wale mafund msaidien chipukiz mpya uyo mnapoteza kipaj ujue...!
 
Aisee guys mwenye ujuzi na hili naomba anielekeze
,yaan nikikutana kimwili na mwanamke nikijaribu kuvaa mpira mashine haisimami. Nikijitahidi sana labda kwa bao la kwanza ila hata hilo bao la kwanza nosipoejaculate haraka hamu inakata ghafla mashine inalala. Sasa kwa bao la pili ndo kabisaa nashindwa kuvaa mpira kabisaaa.
Nashindwa kuelewa tatizo nini? Au nifanyeje niweze kuwa na hamu/hisia kali kiasi kwamba mashine ikisimama naeza valisha mpira vizuri liwe bao la kwanza au hata la pili.

Inaogelea kwenye condom ufunge na kamba au unatishe na super glue usiiiipige mlegezo
 
Back
Top Bottom