Vipi unaweza kutofautisha Simba, Chui, Duma, Mbwamwitu, mbweha, mbwa, na paka?Wana tofauti gani hawa?
Wana tofauti gani hawa?
kima ni mweusi yupo tofauti sana na haoNi kazi ngumu sana kumtofautisha tumbili, ngedere na kima.
Mbona ukitizama hizi picha unaona Tofauti mzee? unataka tofauti gani zaidi ya hizi tunazoziona kwenye picha?
Na Nyani Ngabhu anakuwa na rangi gani?kima ni mweusi yupo tofauti sana na hao