Kama kweli mkeo ni mjamzito nina uhakika anajua hali yake...hivyo hata hali yako anaifahamu.
Suala la yeye kukuomba kwenda kupima nahisi alitaka kujiridhisha au alitaka nyote mtambue hali zenu kwa pamoja.
cha msingi kwanza kabisa acha kuendelea kula tunda na mkeo (ikilazmu tumia kondom hadi hapo utapojrdhsha na hali zenu wote,
Kama kweli mkeo ni mjamzito nina uhakika anajua hali yake...hivyo hata hali yako anaifahamu.
Suala la yeye kukuomba kwenda kupima nahisi alitaka kujiridhisha au alitaka nyote mtambue hali zenu kwa pamoja.
1) sijawahi kumweleza mke wangu na huu ni mwezi wa tatu tangu kupata majibu
2) yule dada aliyenitoa damu na kufanya vipimo ameongeza safari za kuja kukutembelea home (kila weekend)
3) sina hakika kama keshamweleza mke wangu status yangu (wife hajaonyesha tofauti yoyote)
naomba ushauri wenu wadau