Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,040
- 13,472
Haahahaha yaah uko sahih lakin nimeelewwka pia m sikuwa na wazo la hzo alama za maandishi ndugu yangu pia usiwaze kuhusu elimu yangu nina elimu yakutosha tuu kwa Tanzania nami nimo kati ya waliomo,namshukuru sir God kwa hilo, zen sikuwa nimeongelea kihusu elimu ilo si muhimu sana hapa so naomba usinihukumu Elimu yanguMmmmhhhhhh!!!!!! Wewe mbona unamtia aibu mwalimu wako? Ziko wapi alama za kiuandishi? Umenifanya niishiwe pumzi maana hamna nukta wala mkato.......... Elimu yako bado utata mtupu.:thumbdown:
Nimeiona nimekupm namba plz ntafute kwa hyo nambaPm yangu umeiona?
Ngoja nijitolee kukufuta machozi
mtoto mzuri unahangaika na magangster ambao hawaeleweki.
Wewe unahitaji mahaba wala sio mapenzi
Usijali na asante kwa ushauri wakoSharpshooter.....jamaa ni mtaalam wa akili za wanawake...anachojaribu ni kuku frustrate....anajifanya kua ni simba asiefugika....tafuta mtu mwengine akuchezee mwisho wa siku utakua ni Public property....Samahani hili ndo neno zuri nililolipata....
Heaven lakini inasikitisha sana. Kuna wanaume ni abusive sana lakini wanawake walio nao hawabanduki hata atukanwe vipi. Mimi nadhani ni zaidi ya kuridhishwa kimapenzi, kuna suala la kisaikolojia zaidi. Kama ulivyosema labda ile hope kuwa jamaa atabadilika ndio huwafanya wadada wabaki na mabandidu kama hao.
Pm yangu umeiona?
Ngoja nijitolee kukufuta machozi
mtoto mzuri unahangaika na magangster ambao hawaeleweki.
Wewe unahitaji mahaba wala sio mapenzi
Twenty six,why asking?una miaka mingapi kwani?
Twenty six,why asking?