Nashindwa kumuondoa kichwani

Nashindwa nikushaurije kama bado unaimiss hiyo one night stand.

Vumilia tu na utamsahau kwani inawezekana yeye ni mmoja kati ya MA-SADDIST.
 
walioachwa wote waje kwangu nitawaliwaza na watajiona wenye thamani duniani
 
asanteen kwa ushauri wenu nashukuru sana unajua nin nimejifunza kitu kupitia kwenu wapenzi humu ndan nshaonaga ushauri wakila aina wenye kuumiza na kujenga mpk naandika hii mada alikuwa kasharudi kama mara tatu hivi lakin nikiukumbuka ule usiku ulikuwa mgumu sana na nkamwambia akasema wanawake weng hawapendi kuambiwa ukweli nkamwambia napenda sana ukweli lakin km ndo huo basi mie nimeshindwa akasema ntakuja tena jifkilie sasa kwa ushauri wa humu ndani asanten nshapata majibu no more game naanua matanga asanteeen
 
Dalili ya mvua ni mawingu...tupa kule usijejuta badae
 
unawezaje kumkumbuka mwanaume MWENYE dharau na kashfa kama huyo?ujue hiyo ndio silaha yake ya kuwakimbiza wanawake akishawagegeda.anafanya hivyo makusudi kabisaa
 
treni likishaondoka huwa halirud nyuma, likirud nyuma ujue ajali hapo, so be careful.
 
Vaislay unakuta dada mzuri tu lakini anatukanwa na kupelekeshwa na gangster mmoja hivi. Binti haachi, analia lakini anarudi. It defies logic.

ni kazi kuelezea yaani muda mwingine anaesema mapenzi ni upofu ni kweli

when ur inside u dont see a thing utakuja kurealise baadae
 

Huyo ni Bwana Chezo, tayari kashakuchezea na hakutaki tena
 
The guy must be very good in bed kama ni kweli alikwambia hayo unayosema lakini shughuli imekufanya umeshindwa kumsahau.
 
walioachwa wote waje kwangu nitawaliwaza na watajiona wenye thamani duniani
kadodoo unaitwa huku na bazazi anataka akutue mzigo
ha ha ha kama one nyt stand unamkumbuka mmmmh
 
Last edited by a moderator:
ni kazi kuelezea yaani muda mwingine anaesema mapenzi ni upofu ni kweli

when ur inside u dont see a thing utakuja kurealise baadae

Heaven lakini inasikitisha sana. Kuna wanaume ni abusive sana lakini wanawake walio nao hawabanduki hata atukanwe vipi. Mimi nadhani ni zaidi ya kuridhishwa kimapenzi, kuna suala la kisaikolojia zaidi. Kama ulivyosema labda ile hope kuwa jamaa atabadilika ndio huwafanya wadada wabaki na mabandidu kama hao.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…