chuki
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,715
- 534
Kama wewe hujamwelewa sisi tumemwelewa, sasa unataka nini?Huyu jamaa yupo kigoma na ziara ya pamoja na Kinana.
Sasa anawahutubia wananchi kwamba sisi ccm ni chama makini tutaendele kutekeleza ahadi zetu kama tulivyo waahid,msiwasikilize wapinzan hawana sera.
Anawambia tumeenda KARENGA tumewapiga,tumeenda CHALINZE tumewapiga.
Sasa mimi najiuliza kwani haya majimbo yote hayo yalikuwa ya upinzani au yalikuwa Ya CCM?amempiga nani sasa?