Wakati wa dr jk alisifia lakini Dr Magufuli ameonesha kuwa ilikuwa serikali dhaifu na sasa kwa dr Magufuli dr Bana anasifia.
Je nini msimamo wake na nini mtazamo wake thabiti ktk uchambuzi wake? Je ni Itukadi inambana?
Learn to be positive! Unakuwa kama akina Msigwa na Chadema yao!