Nashindwa kumuelewa Dr. Benson Bana

swagazetu

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
4,251
1,467
Wakati wa dr jk alisifia lakini Dr Magufuli ameonesha kuwa ilikuwa serikali dhaifu na sasa kwa dr Magufuli dr Bana anasifia.

Je nini msimamo wake na nini mtazamo wake thabiti ktk uchambuzi wake? Je ni Itukadi inambana?
 
Bana anaishi kinafiki.Alipiga ramli JK amteuwe akamkaushi.Sasa anahamishia ramli zake kwa JP
Posse kapewa shavu yeye kabaki na unafiki wake na atashika chaki mpaka siku ya hukumu
 
ni kama Hamdy d tu wa jf,alitetea sana ufisadi humu,leo mafisadi japo dagaa wanabituliwa anasifia
 
Last edited by a moderator:
Dr. Bana hauwezi muelewa kama utamchukulia kama mtu msomi. Wewe mwangalie kama mtu mchumia tumbo. Yeye hana aibu. Ili mradi apate pesa.
 
Mkuu, mbona wako wengi tu? Wewe angalia tu hata waheshimiwa wa jukwaa hili, tafuta michango ya watu humu juu ya serikali ya kikwete na waangalie haohao wanasemaje juu ya serikali ya magufuli. Nenda kwenye kumbukumbu za bunge uone mijadala ya wabunge wa ccm zilipoibuliwa hoja juu ya uozo bandari, reli nk. halafu subiria bunge hili lianze... Nakwambia lazima ushindwe kushangaa!
 
Nchi yetu inawachumia tumbo wengi
 
Wakati wa dr jk alisifia lakini Dr Magufuli ameonesha kuwa ilikuwa serikali dhaifu na sasa kwa dr Magufuli dr Bana anasifia.

Je nini msimamo wake na nini mtazamo wake thabiti ktk uchambuzi wake? Je ni Itukadi inambana?
njaa haina baunsa mjomba .
 
ni WA kumsamehe bure hao ndio wasomi wetu. Pata picha akiwa mbunge atatetea maslahi ya wananchi wake kweli ?
 
Unashangaa nini, ndiyo akili za wachumia tumbo wengi. Mchukulie kama wapiga mipasho wa east africa melody
 
Nakumbuka siku moja aliulizwa mbona hujitokezi kutetea haki za Raia na hata unapojitokeza lugha yako inakuwa laini sana. Akajibu "mimi ni mwanataaluma na si mwanaharakati"
 
Nimiongon mwa wqsomi wa hovyo kabisa siasa imemkaa kuliko taaluma ni hasara kuwa na msomi wa namna hii
 
Kama miaka miwili iliyopita alikuwa anaikosoa sana serikali ya jk lakini baadaye wakamuweka mfukoni akawa haoni wala hasikii, amekuwa hajitambui
 
Back
Top Bottom