Nashindwa kumuacha kabisa

Nashindwa kumuacha kabisa

sam green

Senior Member
Joined
Feb 21, 2020
Posts
187
Reaction score
287
Habari wana jf mm niko na mpenz wang tunaelekea kumaliza mwaka sasa katika mahusiano yetu mwanzo tulipendana sana tena sana lakin kwa sasa huyu mwenzangu kabadilika yup busy hakutafuta mpaka nimtafte mimi naweza kaa hata siku 3 kimya nae hukaa hivyo hivyo hata nikimtisha nikimwambia tuachane yeye anachukulia kawaida tuu anajibu"poa " kwa kwel nashindwa kumuacha kila nikimuacha najikuta nimemrudia nikkausha najikuta nimemtafta tena.. Ushauri wenu ndugu ......plz
 
Mkuu nimempenda tu wala sijampndea tako wala mauno moyo tuu umempendaa
Mwanamke akikukubalia uwe mpenzi wake, ujue anahitaji mambo matatu kutoka kwako
1. Success - Mafanikio
Kama huna cha kumpa, jiandae kuachwa

2. Security - Ulinzi
Kama huwezi kumtetea kivyovyote, unamfanya anajifill insecure akiwa na wewe, jiandae kuachwa

3. Sex - Ngono
Kama humtomb vizuri, jiandae kuachwa

Tafakari unakosea wapi, quote and comment, tujue cha kukushauri.

Legendary Out
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom