Ulichoandika sioni kama kinashabihiana na ulichokusudia kuwakilisha.Habari waungwana,Leo tena naomba kuwasilisha hoja ifuatao:-
Katika historia ya ukombozi Wa bara la Afrika katika kujiondoa katika makucha ya Wakoloni na mabeberu waliokuwa wakinyonya bara la. Afrika tunakutana na huyu bwana Jonas Savimbi kutoka Angola.
Kiongozi huyu huyu alikuwa maarufu sana kwa vita vya msituni ambapo habari za kiitelijensia zinadai kuwa Jamaa huyu alikuwa akitumiwa na Mabeberu ili kuvuruga amani na maridhiano ya Taifa la Angola,Mabeberu walimtumia ipasavyo mpaka alipo kuja kuuawa na jeshi la serikali la Angola mwaka 2002 kwa kumiminiwa risasi mfululizo na hapo ndio Angola ikapata amani na utulivu.
Kwa Tanzania yetu ya leo tunaye Jonas Savimbi ambaye ni Lissu ,bwana huyu amekuwa na nyendo za kutaka kuiingiza nchi katika makucha ya mabeberu kwa manufaa yake,na amekuwa akijiapiza kuwa lazima taifa la Tanzania lisiwe kisiwa cha amani tena,watanzania wenzangu tuwe makini na akina Jonas Savimbi ambao wanatumika na mabeberu ili kuvuruga amani ya nchi yetu.
Mungu ibariki Tanzania,mbariki rais wetu pamoja na viongizi wote Wa chama na serikali
Nawasilisha.
Hauna topic hapo una ushuzi tu
Ndio tatizo lako unataka amani,watu wanataka maisha bora na amani inayotokana na haki sio woga.
Shame on you x3...
Wew ndie mtoa mada,wewe ndio utoe mfanano wao,sasa wewe uliyeleta mada hujajenga hoja ya kufananq kwao zaidi ya kukaririshwa anatumwa na mabeberu na hausemi kwa namna gani.
Nasikitika sana kuona hela za walipa koda zinazalisha watu mbumbumbu hivi...Yamenza kutimia,huyu ni kibaraka hatari sana kwa mstakabari wa maendeleo ya taifa letu
Mzalendo anailinda katiba sio kukilinda chama tawala.Mimi sio UVCCm Mkuu,mimi
Ni mzalendo halisi ninayeipenda nchi yangu na sio tayari kuona ardhi yangu ikiharibiwa kwa masrahi ya watu wachache kama akina lissu
Ni wale wale. Umeleta mfano mzuri sana. Ana wafuasi wanotaka kubomboa Ubungo interchange kusudi "tukose wote."Habari waungwana,Leo tena naomba kuwasilisha hoja ifuatao:-
Katika historia ya ukombozi Wa bara la Afrika katika kujiondoa katika makucha ya Wakoloni na mabeberu waliokuwa wakinyonya bara la. Afrika tunakutana na huyu bwana Jonas Savimbi kutoka Angola.
Kiongozi huyu huyu alikuwa maarufu sana kwa vita vya msituni ambapo habari za kiitelijensia zinadai kuwa Jamaa huyu alikuwa akitumiwa na Mabeberu ili kuvuruga amani na maridhiano ya Taifa la Angola,Mabeberu walimtumia ipasavyo mpaka alipo kuja kuuawa na jeshi la serikali la Angola mwaka 2002 kwa kumiminiwa risasi mfululizo na hapo ndio Angola ikapata amani na utulivu.
Kwa Tanzania yetu ya leo tunaye Jonas Savimbi ambaye ni Lissu ,bwana huyu amekuwa na nyendo za kutaka kuiingiza nchi katika makucha ya mabeberu kwa manufaa yake,na amekuwa akijiapiza kuwa lazima taifa la Tanzania lisiwe kisiwa cha amani tena,watanzania wenzangu tuwe makini na akina Jonas Savimbi ambao wanatumika na mabeberu ili kuvuruga amani ya nchi yetu.
Mungu ibariki Tanzania,mbariki rais wetu pamoja na viongizi wote Wa chama na serikali
Nawasilisha.
Mnaongea pumba sana!Muda ni mwalimu mzuri sana,sioni mwisho mzuri kwa taifa letu, naona kuna nia ovu imefichika dhidi ya Lissu na ana hasira sana ya kulipa kisasi
Na ana chuki kubwa ndani ya moyo wake,ogopa sana nyati akijeruhiwa,lissu ni nyati aliyejuluhiwa,haana hasara na taifa letu,itatugharimu sana mwaka huu ,ni Mungu pekee aingilie kati,na tumuombe Sana