Nashindwa kumshauri rafiki

chapa makofi tu tupa kule,kaoa kaolewa?cku hz wanawake wanataka kujipima mabav mpaka na waume zao,kama hyo yeye ndo anataka awe msemaj mkuu wa kila kitu wakat kaolewa tu ,kama nataka kwnda mahal namuaga mke wngu bt hawez kunizuia or question me further..smtimes u have to do it the hard way binadamu wngine mpk wapelekwe kwa force,atumie nafac yake kama mkuu wa familia kufanya mambo yke as long as sio mabaya.

Mmh mkubwa hii soo...anaweza akafanya hivi ndoa ikavunjika,tatizo ni kwamba wanawake wengi wanakuwa na character hizi angekuwa ni mpenzi angeweza achana naye lakini anaweza akatafuta mwingine ikawa yale yale...anadai kipindi cha uhusiano hakuyaona haya ndio anapopagawa zaidi..si unajua uhusiano hata kama mnaishi kwa kujiiba wiki au siku 3 au 2 si rahisi kuona tabia za mtu kiharisia na pia ukisha ahidi ndoa tabia fulani huwa zinafichwa
 
Mshauri aandike ratiba yake ya wiki nzima abandike ukutani ili kama akiwa anaenda mazoezini,mkewe asome aone huu ni muda wa mazoezi kutokana na ratiba....nafikiri mwanamke ni too demanding,coz kama mumewe anaitwa na rafikize for whatever reason,hapwaswi kuwa mkali,amuulize tu kulikoni na amruhusu,as long as anaaga sidhani kama kuna neno. Sometimes,you have to learn to be a man(just as you have to learn to be a woman) ,la sivyo mwanamke ata take advantage na kukusumbua....ila nakubaliana na Nyumba Kubwa kuwa majukumu yatamtuliza tu hapo mbeleni,wengi too tulikuwa na mahangaiko ya aina hiyo but majukumu yanapokuzidi wala huna muda na hayo tena...unafurahia kupata hata muda wa kuwa mwenyewe baada ya watoto kulala na huna mtu wa kukusumbua....!!
 
...aaahhh, mwambie huyo rafiki yako afuate matakwa ya mkewe bana, mbona sio magumu ki hivyo?

Kuna shida ganikumwelezea mwenzake well in advance mipangilio yake ya siku, wiki hata mwezi?
Mke nae anamipango yake kwake.
Ndio Ndoa hiyo, au yeye atajiskiaje mkewe akiwa anakurupuka kama yeye?

Hilo la kukuuliza mkeo anayafanya hayo, sio busara. "Kila mtu na Mtu'we!"
Anastahiki kuzifanyia kazi taratibu za nyumbani kwake iwapo anatamani maisha ya furaha, amani na utulivu.

Moskwito
Ushauri mzuri ila nina shaka hapo kwenye KUFUATA MATAKWA YA MKEWE.
Moja ya matakwa ya baadhi ya mashine ni uwepo wa mafuta/umeme ndipo iwake. La sivyo hakieleweki kitu
Mke sio mashine kwamba lazima ifuatwe inachotaka, FULL STOP!!!!
Mke ni binadamu kama wengine, ana ubongo unaofanya kazi, unaelewa na kifikiria sawa sawa.

Mapenzi ni maelewano, na wala si kuwekeana vikwazo visivyo na maana.
Hana sababu ya msingi kukataa mumewe kwenda mazoezini, hana sababu ya maana kumzuia mumewe kwenda kwa rafiki zake
Unless kama ameshawahi kumuona maeneo fulani na mwanamke mwingine asiyemjua.
Amruhusu mume wake aendelee kufanya shughuli zake za kawaida ktk jamii.

Itatokea dharura kapewa safari ya kikazi nje ya nchi na bosi wake, mkewe akakataa kumruhusu kuondoka kwa vile hakupata taarifa mapema.
Je hapa itakuwa ni sawa???

Mwanamke lazima a-behave kama binadamu, sio kama mashine
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Great Thinker you seem to know too much about this family. You have all answers as if you were there!

Ni kweli jamaa ni rafiki wa siku nyingi na wa karibu man ni o level class mate tulioshibana..inshu ni kuogopa kuwa reason ya kuwa separate. hata huyo mke wake tumezoeana sana tu...huwa namwambia jamaa jitahidi kumshirikisha katika kila unalofanya na epusha shari ila kiukweli mengine anayonieleza huwa naona shemeji anazidisha...
 
Ni sahihi kabisa unavyosema...ila tatizo jamaa ananipa mifano kwamba sometimes mkewe hujisahau na kufanya mambo fulani bila hata kumjulisha yeye in advance...kwa mfano anaweza kutoka ofisini jumamosi(nusu siku) akapitia kusuka bila kumweleza yeye in advance akimpigia anamwambia nimepitia kusuka..sasa anashangaa kwa nini yeye akimuaga mbele yake anamwambia mbona haukunieleza toka awali?

...there you go! Mkewe hujisahau, sasa nae ndio anataka kulipiza?

Kuna tabia (zilizojengwa na mazowea yao ya awali) ambazo inabidi kuelezana na kuzisawazisha badala ya
kuziongelea nje ambako hatujui Kunguni wa kitanda wanachokilalia, au wewe unaonaje Great Thinker?
 
Na mimi nakubaliana na mbu. Hiyo ndoa inaitaji mawasiliano zaidi "communication". Inavyoelekea jamaa ana communicate na wewe rafikiye zaidi na anavyo communicate na wife.

Ndoa changa zina challenges zake. Mojawapo ikiwa ni adjustment. Nadhani wanandoa wote kuna vitu inabidi wa sacrifice for the sake of togetherness.

Yaani kama alikuwa ni mtu wa kujirusha na washikaji kurudi home majogoo, ajue sasa ana mtu wa kumuuliza alikuwa wapi na nani? Marriage means less freedom.

Nina shemeji yangu ndoa ilimshinda kimzaa mzaa kwa sababu ya kutopenda kubadili mwenendo wa maisha. Kila anayemuoa anabwaga manyanga.

...there you go! Mkewe hujisahau, sasa nae ndio anataka kulipiza?

Kuna tabia (zilizojengwa na mazowea yao ya awali) ambazo inabidi kuelezana na kuzisawazisha badala ya
kuziongelea nje ambako hatujui Kunguni wa kitanda wanachokilalia, au wewe unaonaje Great Thinker?
 
Mshauri aandike ratiba yake ya wiki nzima abandike ukutani ili kama akiwa anaenda mazoezini,mkewe asome aone huu ni muda wa mazoezi kutokana na ratiba....nafikiri mwanamke ni too demanding,coz kama mumewe anaitwa na rafikize for whatever reason,hapwaswi kuwa mkali,amuulize tu kulikoni na amruhusu,as long as anaaga sidhani kama kuna neno. Sometimes,you have to learn to be a man(just as you have to learn to be a woman) ,la sivyo mwanamke ata take advantage na kukusumbua....ila nakubaliana na Nyumba Kubwa kuwa majukumu yatamtuliza tu hapo mbeleni,wengi too tulikuwa na mahangaiko ya aina hiyo but majukumu yanapokuzidi wala huna muda na hayo tena...unafurahia kupata hata muda wa kuwa mwenyewe baada ya watoto kulala na huna mtu wa kukusumbua....!!

ushauri huu ni mzuri na iwapo mke atakubaliana na ratiba kama vile ya mazoezi itakuwa poa sema hili la kuonana na washikaji sometimes laweza kutokea tu a si mpaka ajue in advance.. baadhi ya marafiki wa karibu huwa anashindwa kumzuia..mfano mimi kama nataka tuonane huwa haina shida hata kama nimemwita mahali ila marafiki wale wasio wa karibu sana inakuwa ngumu
 
Ndoa inahitaji descipline ya hali ya juu. Nakumbuka baba yangu alikuwa anatuambia, wanangu mmeshawahi kuniona nimelala nje? He was so proud of his behaviour though he was a cheater! Yaani yeye alikuwa mtu wa kinywaji lakini lazima arudi nyumbani, na ni lazima ale nyumbani. Na kwa hilo namsifu kwa kweli japo najua alikuwa na affairs za hapa na pale zile za hit and run lakini anaheshimi sana familia.
 
Moskwito
Ushauri mzuri ila nina shaka hapo kwenye KUFUATA MATAKWA YA MKEWE.
Moja ya matakwa ya baadhi ya mashine ni uwepo wa mafuta/umeme ndipo iwake. La sivyo hakieleweki kitu
Mke sio mashine kwamba lazima ifuatwe inachotaka, FULL STOP!!!!
Mke ni binadamu kama wengine, ana ubongo unaofanya kazi, unaelewa na kifikiria sawa sawa.

Mapenzi ni maelewano, na wala si kuwekeana vikwazo visivyo na maana.
Hana sababu ya msingi kukataa mumewe kwenda mazoezini, hana sababu ya maana kumzuia mumewe kwenda kwa rafiki zake
Unless kama ameshawahi kumuona maeneo fulani na mwanamke mwingine asiyemjua.
Amruhusu mume wake aendelee kufanya shughuli zake za kawaida ktk jamii.

Itatokea dharura kapewa safari ya kikazi nje ya nchi na bosi wake, mkewe akakataa kumruhusu kuondoka kwa vile hakupata taarifa mapema.
Je hapa itakuwa ni sawa???

Nakubaliana nawe CPU, ningekuwa GreatThinker kwanza ningemuuliza huyo Classmate amefanya juhudi gani kuyasawazisha hayo, na matokeo yake. Kwa jinsi ninavyomsoma huyo jamaa hapa, anatafuta justification ya mkewe kuonekana mbaya mbele za watu, ili hata likibumbulika huko mbele ya safari, lawama zibebwe na GT pamoja na sie humu!

Hainiingii akilini eti mke/mume anakwenda mazoezini halafu mke amkataze, unless hayo mazoezi ni ya tokomile! GT hajatubainishia ni mazoezi ya muziki wa dansi, kwaya, au mazoezi ya mpira. Hizo sababu za kutoka nyumbani mtu anapojiskia sio muafaka kwenye ndoa nyingi. Ndio maana nikatolea mfano iwapo mke nae atakuwa na maamuzi kama hayo, huyu jamaa atampelekea GT kesi gani mpya?

Mwanamke lazima a-behave kama binadamu, sio kama mashine
...
wanawake nao wana feelings za upweke, na kuhisi tabia zinapoanza kubadilika vile vile.
 
Nakubaliana nawe CPU, ningekuwa GreatThinker kwanza ningemuuliza huyo Classmate amefanya juhudi gani kuyasawazisha hayo, na matokeo yake. Kwa jinsi ninavyomsoma huyo jamaa hapa, anatafuta justification ya mkewe kuonekana mbaya mbele za watu, ili hata likibumbulika huko mbele ya safari, lawama zibebwe na GT pamoja na sie humu!

Hainiingii akilini eti mke/mume anakwenda mazoezini halafu mke amkataze, unless hayo mazoezi ni ya tokomile! GT hajatubainishia ni mazoezi ya muziki wa dansi, kwaya, au mazoezi ya mpira. Hizo sababu za kutoka nyumbani mtu anapojiskia sio muafaka kwenye ndoa nyingi. Ndio maana nikatolea mfano iwapo mke nae atakuwa na maamuzi kama hayo, huyu jamaa atampelekea GT kesi gani mpya?

...wanawake nao wana feelings za upweke, na kuhisi tabia zinapoanza kubadilika vile vile.

mazoezi hasa ni ya mpira..mshikaji anapenda sana football...ni kweli ushauri kwa mshikaji ni pagumu maana unaweza ukaonekana mbaya wewe..mimi nachomweleza ni ajitahidi kumuhusisha mkewe na kwenda nae out mara nyingi hata kuwaona hao washikaji wengine kama hamna mbaya waongozane tu wife anaweza kumsubiri akiwa anaongea na washikaji..tatizo maisha ya ndoa ni magumu hauwezi ku copy and paste unavyoishi wewe na mkeo na mwenzako nae aiishi hivyo na mkewe..ni kosa la jinai kufikiri kwa mwenzako nako itafaaa....
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Nakubaliana nawe CPU, ningekuwa GreatThinker kwanza ningemuuliza huyo Classmate amefanya juhudi gani kuyasawazisha hayo, na matokeo yake. Kwa jinsi ninavyomsoma huyo jamaa hapa, anatafuta justification ya mkewe kuonekana mbaya mbele za watu, ili hata likibumbulika huko mbele ya safari, lawama zibebwe na GT pamoja na sie humu!

Hainiingii akilini eti mke/mume anakwenda mazoezini halafu mke amkataze, unless hayo mazoezi ni ya tokomile! GT hajatubainishia ni mazoezi ya muziki wa dansi, kwaya, au mazoezi ya mpira. Hizo sababu za kutoka nyumbani mtu anapojiskia sio muafaka kwenye ndoa nyingi. Ndio maana nikatolea mfano iwapo mke nae atakuwa na maamuzi kama hayo, huyu jamaa atampelekea GT kesi gani mpya?

...wanawake nao wana feelings za upweke, na kuhisi tabia zinapoanza kubadilika vile vile.

Usifikiri jamaa anongea uongo...hawezi kunidanganya man namwamini sana ni mtu mstaarabu asiye na makuu na hajawahi kuniambia uongo labda kama iwe sikufahamu kama ni uongo ila namwamini mno...
 
Inaonekana huyo mke wake yuko very protective. Hii ni kawaida kwa wanawake wengi. Wanawake huwa wana mechanism inayowafanya wasikubali kuaamini jinsi wanavyowaona wanaume wao. Huwa wanaamini kuwa wanaume wao ni "special na immume" na matatizo yanayowakabili wanaume wengine. Wanaamini kuwa wanaume wao hawatafanya mambo fulani wanayofanya wanaume wengine kama kuvutiwa na wanawake wengine, kudanganya, nk. Wanaamini wanaume wao ni watakatifu. Hii ni protective mechanism inayomsaidia mwanamke ku-deal na ukweli kuhusu mume wake tofauti na anavyomwamini. Pia wapo baadhi ya wanaume wenye hiyo tabia.

Lakini kama huyo mwanamke anaamini kuwa mume wake ni tofauti na wengine, then he is setting herself up for a failure. Because if the time comes that he does hurt her, the fact that she has been in denial for so long will make it even worse. Pamoja na kuwa kuna brutal ways za rafiki yako kuhandle hili tatizo, wakae chini wajadili hili suala.

By the way this is one side story kwa hiyo ni vigumu kujua what is going on hata kama ni rafiki yako wa karibu. Inawezekana tukamlaumu huyo mwanamke hapa, at the end of the day ukakuta sababu zinazonfanya a-behave hivyo ni huyo huyo rafiki yako. Maisha ya ndoa ni maisha ya ndoa. Yanahitaji commitments na compromises nyingi.
 
Kuna tatizo ambalo ama wewe hujaliweka wazi au yeye hajakwambia ambacho kinamfanya mkewe hasikubaliane nae; labda unasema mazoezi ukimaanisha small house, marafiki ukimaanisha Bar na masmall house na mke ameshajua A-Z zenu!

Sijatumia tafsida yoyote..mazoezi namaanisha mazoezi na marafiki namaanisha marafiki man,nishasema hapo awali jamaa si mpenda makuu si mnywaji,mimi kuna wakati huwa nafikiri pengine ni wivu wa mkewe anapenda kuwa nae ila jamaa navyomuelewa mimi
 
Inaonekana huyo mke wake yuko very protective. Hii ni kawaida kwa wanawake wengi. Wanawake huwa wana mechanism inayowafanya wasikubali kuaamini jinsi wanavyowaona wanaume wao. Huwa wanaamini kuwa wanaume wao ni "special na immume" na matatizo yanayowakabili wanaume wengine. Wanaamini kuwa wanaume wao hawatafanya mambo fulani wanayofanya wanaume wengine kama kuvutiwa na wanawake wengine, kudanganya, nk. Wanaamini wanaume wao ni watakatifu. Hii ni protective mechanism inayomsaidia mwanamke ku-deal na ukweli kuhusu mume wake tofauti na anavyomwamini. Pia wapo baadhi ya wanaume wenye hiyo tabia.

Lakini kama huyo mwanamke anaamini kuwa mume wake ni tofauti na wengine, then he is setting herself up for a failure. Because if the time comes that he does hurt her, the fact that she has been in denial for so long will make it even worse. Pamoja na kuwa kuna brutal ways za rafiki yako kuhandle hili tatizo, wakae chini wajadili hili suala.

By the way this is one side story kwa hiyo ni vigumu kujua what is going on hata kama ni rafiki yako wa karibu. Inawezekana tukamlaumu huyo mwanamke hapa, at the end of the day ukakuta sababu zinazonfanya a-behave hivyo ni huyo huyo rafiki yako. Maisha ya ndoa ni maisha ya ndoa. Yanahitaji commitments na compromises nyingi.

Ni kweli ni vigumu kwa yeyote kujua mambo ya ndani ya nyumba yao....hata waswahili wanasema "kitanda usichokilalia haujui kunguni wake" na ki ukweli kwa namna yeyote ile,tatizo la wana ndoa hutatuliwa kirahisi na kwa ufanisi zaidi na wana ndoa wenyewe...!
 
La kufanya ni kwenda nae popote pale, mapenzi yanamsumbua.

Ya hii sawa nimepewa ushauri huu na mchangiaji mmoja pia..ni bora kumshirikisha na kwenda nae akichoka mwenyewe atakua anaamua kubaki sasa inshu ni kwamba itabidi iwepo ratiba maana akiagwa ghafla utata.....
 
Back
Top Bottom