Nashindwa kumsaidia

Nashindwa kumsaidia

Huyo Secretary kama alikua na nia ya kumkomoa wife wako, angemalizana na wewe messenger. Siku ya kuonana nae ni lodge kuvunja amri ya sita.

Anapataje confidence ya kukufungukia kizembe ivo. na amejuaje kama wewe ni mfanyabishara na huwa unasupply bidhaa? jibu ni kuwa 'wife wako kampanga'

Shtuka mkuu, huo ni mchezo wa wife kukufanyia majaribu.

Chakufanya, we kaa kimya na usijiusishe na ugomvi wao. Utakuja kusikia wife anakwambia amemsamehe..
 
Mkuu kwa hatua hiyo ishafika mbali sana sana, huwezi kumshusha mkeo hata kidogo, huyo dada ajifunze tu maana alitaka kumkomoa boss wake kwa kutembea na mumewe kisa anaringa, huko kuringa kunamuathiri nini huyo dada. Ishachelewa mkuu, cha kufanya dada mwenyewe aje kwa wife ikiwezekana nawe uwepo amwombe msamaha walau ataelewa,
 
Mmmmh mwanaume umemkataa mwanamke? bhasi huenda huyo secretary/mdada atakuwa na sura mbaya & churaless mpaka umefikia uamuzi wa kumkataa, na hujamkataa kwasababu umeoa wala nn Gwele
Nampenda sana mke wangu okoyoko lakini hata hivyo nilijikuta naingiwa ugumu kumkubali japo ni binti mzuri kisura suo chura
 
anarevenge huyo sa jiulize kwanini mdada kaamua kurevenge kwa boss wake huenda boss ndo chanzo how sijuwi
Mmmmh we mkuu mbona unanipa mawazo mapya ngoja nikabane haka kabinti vizuri huenda kuna kitu nyuma ya pazia
 
Huyo Secretary kama alikua na nia ya kumkomoa wife wako, angemalizana na wewe messenger. Siku ya kuonana nae ni lodge kuvunja amri ya sita.

Anapataje confidence ya kukufungukia kizembe ivo. na amejuaje kama wewe ni mfanyabishara na huwa unasupply bidhaa? jibu ni kuwa 'wife wako kampanga'

Shtuka mkuu, huo ni mchezo wa wife kukufanyia majaribu.

Chakufanya, we kaa kimya na usijiusishe na ugomvi wao. Utakuja kusikia wife anakwambia amemsamehe..
Ngoja nione mwisho wao japo kuhusu kujua mimi ni mfanyabiashara labda katika story zao na wife kipind wapo close
 
Wife jtatu ndio ataenda kazini na ameahid hili suala kulifanyia kazi ili amuonyeshe kuwa mume wa mtu ni sumu pia now tupo kawaida na angalau tupo kama awali japo suala hilo tu ndio hatak nimgusie na hataki kuingilwa mpaka ajiridhishe nafsi yake
 
Hufai wewe unamtetea mtu abayetaka kuharibu ndoa, wewe mwanaume hujielewi, ningekuwa mi wife namtimua tu mana a nafanya kusudi eti ana mkomoa kisa ana ringa
Si ndo maana wewe sio HR wala wife wa mtu? Maana ili umtimue mtu kazini kuna grounds za termination ila kwa inavyoonesha its all personal
 
Kweli mkuu hata mimi nashikilia hapo asichukue ugomvi personal kuumaliza kiofisi kwa kumtimua kazi huyu binti otherwise amalizane nae kivingne
 
Kuharibu ndoa ki vipi wewe, yaani mwanaume kua na mchepuko ndo ndoa kuharibika!!! Huu msemo watu wameukariri, wanaume tunakua na Lori la michepuko na still wake zetu wanatulia ndoani kama chewa
 
Ww jamaa mbona unazingua,ulikosea sana kumuambia mke wako ukweli,umechonganisha Dada wa watu sasa atakuona huna uanaume
 
Sasa ningefanyaje mzee mwenzangu ningemwambia nawasiliana nae kama nani wang?
 
Wana jamvi nina mke wangu ambaye ni HR katika kampuni fulani hapa Dar na mimi ni mfanyabiashara japo mambo yangu yameyumba sana kwa sasa hivyo wife ambaye ndio amepata ajira mwaka huu anaboost sana mambo ya familia na next week alipanga tuvute usafiri ili kurahisisha shughuli zetu na pia kumuwahisha kazini asubuhi

Juzi nilipokea ujumbe messenger kutoka kwa dada mmoja ambaye sikumfaham ila aliniomba namba ya simu akidai ana maongezi na mimi basi nikampatia namba nakupotezea

Asubuhi alinitafuta akiniuliza nipo wapi huku akitaka tuonane mida ya mchana kwa maongezi nae nilimwambia inabid nikufahamu kwanza vizuri before ya kukutana nawe lakini akanisihi nisiwe na shaka

Basi nilikutana nae maeneo aliyinielekeza na nilipofika niligundua hata yeye alikuwa hanijui kwani alinikaribisha kwa kusita kama hana uhakika na mimi, niliongea nae na akaweka wazi ya kuwa alikuwa amevutiwa na mimi kimapenzi akidai aliwahi niona nilipompelekea bidhaa moja ya wateja wangu ambaye ni rafiki ake.

Kwakwel sikukubaliana nae kwa pale nikamweleza wazi kuwa nina mke na ninampenda sana hivyo ni bora angetafuta mtu mwengne wa kuwa nae tuliachana japo hakuridhika na aliendeleza mawasiliano

Juzi alipiga simu na bahati mbaya simu ilikuwa kwa wife na namna nilivyosave ile namba ilimpa wasiwasi wife akaniletea simu nikaongea nae kawaida kama story sikutaka kumkazia ili wife asielewe chochote

Kumbe wife aliingiwa mashaka sana na aliichukua ile namba bila mimi kujua na alivyojaribu kuipiga akagundua ni ya mdada ambaye anamjua ni secretary wa ofisi yao na walikuwa close toka anaanza ajira pale ila hawakuwa na maelewano mazuri siku za hivi karibuni

Hivyo wife wangu akahoji imekuaje kuanza kuwasiliana nae na ni mahusiano gani yanayotuunganisha basi nikamwelezea wife ilivyokuwa akawa amechukia sana akasema atafanya kila namna huyu binti kumtimua kazini kwani ni wazi alifanya makusudi kwa kujua kwani walikuwa marafiki sana hapo awali

Nikamtafuta yule binti nikajaribu kumbana na kumweleza kuwa wife amechukua namba yake alishtuka sana na kusema nimsamehe kwan ni kweli alikuwa akijuana na mke wangu na ni boss wake lakini alitaka kumkomoa eti wife amekuwa mtu wa kuringa sana hapo ofisini akakiri na namba yangu alikuwa nayo before hajaniomba ila alizuga tu kupitia messenger ili isiwe rahisi kwangu kuelewa

Wife leo hakwenda kazini na alimpigia simu huyu dada zaidi ya mara 5 lakini hakupokea na hapa alipo kila nikijaribu kumshauri apotezee hili suala asimuharibie mtoto wa watu kazi ananiwakia anadai basi lengo letu ni moja

Huyu bint katuma meseji anajilaumu na ameingiwa na hofu na mimi nimeshndwa kumsaidia eti ananiomba nimwambie wife kuwa ni mimi niliemtafuta ili niokoe ajira yake mimi hapa nilipo sielewi wife toka jana hayupo sawa na amechukia hashauriki tena. Naomba mawazo yenu jamani namna ya kulimaliza hili soo bila huyu manzi kupoteza kazi na mimi ndoa yangu ibaki salama
Awali ya yote umetahiriwa? Coz kama issue ndogo kama hii unalialia? Na kingine kwa maelezo yako inaonekana wife anajitambua so acha kuendekeza huyo mpumbavu anesema anataka kumkomoa wife kwa madai kwamba mke wako anajidai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wee si ndio ulileta uzi apa kuwa kuna sehemu umepanga lakin mke wa mpangaji mwenzako anakutaka ww sasa kulikon ten uyo HR wako umempata lin tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom