Nashindwa kumsaidia

Nashindwa kumsaidia

Cariha usiseme mchepuko sina mpango nae wowote huyu dada isipokuwa anatia huruma namna anavyoniomba kumsaidia lakini mimi pia sio mwanaume suruali napambana japo mambo yapo kushoto kidogo kwa sasa
Sasa kwanini uhangaike na MTU anayetaka kuharibu ndoa yako tena ni rafiki ya mkeo huyo lengo ni kuharibu hafai kabisa, eti unamuonea huruma, kuna vtu vya kuhurumia ila sio hyo issue, kwanza mkeo hakuamini tena utamfanya aanze kuchepuka bure
 
Sidhani kama wife atapoteza uaminifu kwa hili kwani nilimkataa yule binti mapema tu
 
Mtafune kwanza ukisha mtafuna utapata akili ya kumsaidia ila usipomtafuna utaendelea kutuomba ushari tu. We mtafune bhana mtoto then mengine yatafuata
Naunga mkono hoja maana sa hivi ndio yuko sehem salama...
 
Wana jamvi nina mke wangu ambaye ni HR katika kampuni fulani hapa Dar na mimi ni mfanyabiashara japo mambo yangu yameyumba sana kwa sasa hivyo wife ambaye ndio amepata ajira mwaka huu anaboost sana mambo ya familia na next week alipanga tuvute usafiri ili kurahisisha shughuli zetu na pia kumuwahisha kazini asubuhi

Juzi nilipokea ujumbe messenger kutoka kwa dada mmoja ambaye sikumfaham ila aliniomba namba ya simu akidai ana maongezi na mimi basi nikampatia namba nakupotezea

Asubuhi alinitafuta akiniuliza nipo wapi huku akitaka tuonane mida ya mchana kwa maongezi nae nilimwambia inabid nikufahamu kwanza vizuri before ya kukutana nawe lakini akanisihi nisiwe na shaka

Basi nilikutana nae maeneo aliyinielekeza na nilipofika niligundua hata yeye alikuwa hanijui kwani alinikaribisha kwa kusita kama hana uhakika na mimi, niliongea nae na akaweka wazi ya kuwa alikuwa amevutiwa na mimi kimapenzi akidai aliwahi niona nilipompelekea bidhaa moja ya wateja wangu ambaye ni rafiki ake.

Kwakwel sikukubaliana nae kwa pale nikamweleza wazi kuwa nina mke na ninampenda sana hivyo ni bora angetafuta mtu mwengne wa kuwa nae tuliachana japo hakuridhika na aliendeleza mawasiliano

Juzi alipiga simu na bahati mbaya simu ilikuwa kwa wife na namna nilivyosave ile namba ilimpa wasiwasi wife akaniletea simu nikaongea nae kawaida kama story sikutaka kumkazia ili wife asielewe chochote

Kumbe wife aliingiwa mashaka sana na aliichukua ile namba bila mimi kujua na alivyojaribu kuipiga akagundua ni ya mdada ambaye anamjua ni secretary wa ofisi yao na walikuwa close toka anaanza ajira pale ila hawakuwa na maelewano mazuri siku za hivi karibuni

Hivyo wife wangu akahoji imekuaje kuanza kuwasiliana nae na ni mahusiano gani yanayotuunganisha basi nikamwelezea wife ilivyokuwa akawa amechukia sana akasema atafanya kila namna huyu binti kumtimua kazini kwani ni wazi alifanya makusudi kwa kujua kwani walikuwa marafiki sana hapo awali

Nikamtafuta yule binti nikajaribu kumbana na kumweleza kuwa wife amechukua namba yake alishtuka sana na kusema nimsamehe kwan ni kweli alikuwa akijuana na mke wangu na ni boss wake lakini alitaka kumkomoa eti wife amekuwa mtu wa kuringa sana hapo ofisini akakiri na namba yangu alikuwa nayo before hajaniomba ila alizuga tu kupitia messenger ili isiwe rahisi kwangu kuelewa

Wife leo hakwenda kazini na alimpigia simu huyu dada zaidi ya mara 5 lakini hakupokea na hapa alipo kila nikijaribu kumshauri apotezee hili suala asimuharibie mtoto wa watu kazi ananiwakia anadai basi lengo letu ni moja

Huyu bint katuma meseji anajilaumu na ameingiwa na hofu na mimi nimeshndwa kumsaidia eti ananiomba nimwambie wife kuwa ni mimi niliemtafuta ili niokoe ajira yake mimi hapa nilipo sielewi wife toka jana hayupo sawa na amechukia hashauriki tena. Naomba mawazo yenu jamani namna ya kulimaliza hili soo bila huyu manzi kupoteza kazi na mimi ndoa yangu ibaki salama

Siku zote, adui wa mwanamke ni mwanamke mwenziwe.
 
Kiongozi mkuu Gwele ni dhahiri sasa ngoma imekushinda, samahani kama nitakukwaza, kuanza kutetereka kwenye uchumi na kumpa mamlaka mama kuendesha familia ni kosa kubwa umefanya, ona sasa amepata nguvu ya ziada linapotokea tatizo kwako haambiliki, anajuwa fika kwa sasa yeye ndio starring wa mchezo . Mke mwema ni yule anaedhibiti hasira zake na hasa anaposhauriwa na mume kufanya hivyo. Sasa hapo una two alternatives chagua moja. 1. Mtafute rafiki yake/ndugu anaemuheshimu sana muite hapo kwako asemezane nae na wewe ukiwepo na ule kiapo kwa Mungu kwamba hamkufanya baya lolotebaina yenu na kwamba mke wako asamehe. 2. Tumia nguvu kama mwanaume kidogo weka mkwala, kwamba kama akifanya anayodhamiria na wewe utachukua hatua dhidi yake kwa anayoyafanya bila ya kutaja hatua gani na mambo gani. Yumkini na yeye ana mapungufu yake kwa vile anafanya kazi na anajichanganya na jinsia tofauti. Fanya hivyo uje leta mrejesho
 
Ndoa kwanza mkuu, huyo mdada atajibeba mwenyewe maana hakua na lengo jema na wewe, ushafikiria km alikua anakujua kabla na anajua wewe ni mme wa boss wake na ungemkubali kirahisi ukijua umependwa kumbe alkua na lengo la kukuharibia ndoa yako?
Kaa upande wa mkeo huyo dada achana nae, unavyozidi kumtetea wife ataamini kuna kitu kati yenu kweli, shauri yako
 
Mkuu biashara zangu zimeyumba kidogo ndio maana akawa ana majukumu yote yeye lakini before hana ajira mambo yote nilikuwa namaliza mwenyewe
 
Ndoa kwanza mkuu, huyo mdada atajibeba mwenyewe maana hakua na lengo jema na wewe, ushafikiria km alikua anakujua kabla na anajua wewe ni mme wa boss wake na ungemkubali kirahisi ukijua umependwa kumbe alkua na lengo la kukuharibia ndoa yako?
Kaa upande wa mkeo huyo dada achana nae, unavyozidi kumtetea wife ataamini kuna kitu kati yenu kweli, shauri yako
Nashukuru mkuu kwa ushaur huu
 
Dawa ni kumleta mbele ya wife aje akiri huo mpango wake na aombe msamaha mbele yake akiri kosa lake baada ya hapo wife wako ndo atoe maamuzi.
Ushauri huu ni mzuri mkuu nitajaribu kuufanyia kazi ili yeye abaki kazini na wife asinifikirie vibaya
 
Sidhani kama wife atapoteza uaminifu kwa hili kwani nilimkataa yule binti mapema tu

Mmmmh mwanaume umemkataa mwanamke? bhasi huenda huyo secretary/mdada atakuwa na sura mbaya & churaless mpaka umefikia uamuzi wa kumkataa, na hujamkataa kwasababu umeoa wala nn Gwele
 
Wana jamvi nina mke wangu ambaye ni HR katika kampuni fulani hapa Dar na mimi ni mfanyabiashara japo mambo yangu yameyumba sana kwa sasa hivyo wife ambaye ndio amepata ajira mwaka huu anaboost sana mambo ya familia na next week alipanga tuvute usafiri ili kurahisisha shughuli zetu na pia kumuwahisha kazini asubuhi

Juzi nilipokea ujumbe messenger kutoka kwa dada mmoja ambaye sikumfaham ila aliniomba namba ya simu akidai ana maongezi na mimi basi nikampatia namba nakupotezea

Asubuhi alinitafuta akiniuliza nipo wapi huku akitaka tuonane mida ya mchana kwa maongezi nae nilimwambia inabid nikufahamu kwanza vizuri before ya kukutana nawe lakini akanisihi nisiwe na shaka

Basi nilikutana nae maeneo aliyinielekeza na nilipofika niligundua hata yeye alikuwa hanijui kwani alinikaribisha kwa kusita kama hana uhakika na mimi, niliongea nae na akaweka wazi ya kuwa alikuwa amevutiwa na mimi kimapenzi akidai aliwahi niona nilipompelekea bidhaa moja ya wateja wangu ambaye ni rafiki ake.

Kwakwel sikukubaliana nae kwa pale nikamweleza wazi kuwa nina mke na ninampenda sana hivyo ni bora angetafuta mtu mwengne wa kuwa nae tuliachana japo hakuridhika na aliendeleza mawasiliano

Juzi alipiga simu na bahati mbaya simu ilikuwa kwa wife na namna nilivyosave ile namba ilimpa wasiwasi wife akaniletea simu nikaongea nae kawaida kama story sikutaka kumkazia ili wife asielewe chochote

Kumbe wife aliingiwa mashaka sana na aliichukua ile namba bila mimi kujua na alivyojaribu kuipiga akagundua ni ya mdada ambaye anamjua ni secretary wa ofisi yao na walikuwa close toka anaanza ajira pale ila hawakuwa na maelewano mazuri siku za hivi karibuni

Hivyo wife wangu akahoji imekuaje kuanza kuwasiliana nae na ni mahusiano gani yanayotuunganisha basi nikamwelezea wife ilivyokuwa akawa amechukia sana akasema atafanya kila namna huyu binti kumtimua kazini kwani ni wazi alifanya makusudi kwa kujua kwani walikuwa marafiki sana hapo awali

Nikamtafuta yule binti nikajaribu kumbana na kumweleza kuwa wife amechukua namba yake alishtuka sana na kusema nimsamehe kwan ni kweli alikuwa akijuana na mke wangu na ni boss wake lakini alitaka kumkomoa eti wife amekuwa mtu wa kuringa sana hapo ofisini akakiri na namba yangu alikuwa nayo before hajaniomba ila alizuga tu kupitia messenger ili isiwe rahisi kwangu kuelewa

Wife leo hakwenda kazini na alimpigia simu huyu dada zaidi ya mara 5 lakini hakupokea na hapa alipo kila nikijaribu kumshauri apotezee hili suala asimuharibie mtoto wa watu kazi ananiwakia anadai basi lengo letu ni moja

Huyu bint katuma meseji anajilaumu na ameingiwa na hofu na mimi nimeshndwa kumsaidia eti ananiomba nimwambie wife kuwa ni mimi niliemtafuta ili niokoe ajira yake mimi hapa nilipo sielewi wife toka jana hayupo sawa na amechukia hashauriki tena. Naomba mawazo yenu jamani namna ya kulimaliza hili soo bila huyu manzi kupoteza kazi na mimi ndoa yangu ibaki salama
Hili suala ni gumu sana. Muache mke wako apambane nalo kwa jinsi anavyotaka.
 
Kichwa cha nyumba umeshindwa kabisa kutatua hilo tatizo!!
 
hivi unazijua akili za wanawake wewe??.... ....umeshauriwa hapo mkung'utie pumbu huyo.......then acha afukuzwe kazi, usimtete kabisa....kumbuka ushalikoroga.......kunywa kikombe kimoja kingine mwaga kuleee.......mkeo siku zote ndie the first.......mkaze vema utunze nyumba yako..........
 
Kama.unampenda mke wako basi acha kusimama na huyo mhafidhina aliyetaka kuja kutibua amani kwenye ndoa yako.
Mwambie wife tu kuwa amsamehe huyo binti ikishindikana acha atimuliwe kwani janga si alilichuma mwenyewe huyo mwanamke.
Be a responsible man and protect your marriage whatever the case.
 
anarevenge huyo sa jiulize kwanini mdada kaamua kurevenge kwa boss wake huenda boss ndo chanzo how sijuwi
 
Back
Top Bottom