Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,272
- 96,398
aliugua kichwa kwa muda wa maasaa ghafla nikaambiwa kafark..
Pole sana. Kifo cha ghafla kinaumiza na ni kıgumu kusahau. Baada ya muda utasahau.
Mwombe na mshukuru Mungu kwa kila jambo. Huenda kakuepusha na uchungu mkubwa zaidi.