Nashindwa kumsahau..

Nashindwa kumsahau..

emmy 2nyi

Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
66
Reaction score
25
habari zenu wana jamvi., mwenzenu nlikua na mpenz 2lopendana sana kwa bahati nzur mwenyez mungu kamchukua.ni miez ming toka aondoke duniani lakin siku zote najawa na mawazo mpaka nahisi nachanganyikiwa thatha.. nsaidien jaman nifanye nin il mawazo angalau yapungue maana daaah...
 
Pole sana..You will heal with time!!Just try to find the spirit to keep you strong!

Nisaidie kumuuliza ni kitu gani kilimwondoa shem wetu? labda ndo maana anashindwa kumsahau.
 
Pole ndugu. Mungu ni faraja ya pekee. na muda utakuponya, n huyuhuyu Mungu anakuona
magumu ulonayo na atakupa mwingine wa dhati kama huyo aliyeondoka.
pole sana.
 
Pole sana,tambua ni safari yetu wote,mpendwa wako katangulia iko siku mimi na wewe tutamfuata.

Unaweza kujiunga katika vikundi mbalimbali kama kwaya au michezo mbalimbali vitakusaidia kukuweka bize na kukusahaulisha maumivu hayo,pia mazoezi ya viungo gym,au jenga mazoea ya ule muda unaokuwa peke yako unaweza kuwa unaenda hospitali kuwatembelea wagonjwa,Muombe Mungu akusaidie kukuponya hayo makovu yaliyo moyoni mwako na uweze kusahau!
 
e

asante sana kwa ushauri wako ngoja nijaribu kuufuata naamin utanisaidia
 
pole sana dada!jaribu kuepuka kukaa peke yako, kila wakati penda kujichanganya na watu (marafiki, ndg na jamaa) ili wakupe faraja na kukupotezea mawazo, na Inshaallah Mwenyezi Mungu atakufanyia wepesi.
 
Pole sana, hakika inauma sana kumpoteza unayempenda. Cha msingi, jichanganye na watu, shiriki kazi za jamii, usitumie muda mwingi kuwa pekee yako. Na mwombe Mungu akupatie mwingine ambaye atakufanya umsahau mpenzi wako. Jitahidi sana kwa kuwa kama hutamsahau jua kuwa itaathiri pia mahusiano yako yajayo kama unategemea kuwa na mpenzi au mke/mume.
 
habari zenu wana jamvi., mwenzenu nlikua na mpenz 2lopendana sana kwa bahati nzur mwenyez mungu kamchukua.ni miez ming toka aondoke duniani lakin siku zote najawa na mawazo mpaka nahisi nachanganyikiwa thatha.. nsaidien jaman nifanye nin il mawazo angalau yapungue maana daaah...

Apepe...pole sana!
 
daaah pole sana....ni mapito tu, japo ni ngumu kumsahau...
 
pole sana... Mungu akupe nguvu za kuendelea na maisha huku ukimshukuru kwa kukukutanisha na mpendwa wako na kumomba zaidi akushike mkono na aendelee kukuongoza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom