mhh tabia yake imenishinda
Mpendwa inaelekea mapenzi yanakutesa. Usikipe nafasi kitu kinachokutesa na kukusosesha raha.
Kama tabia yake imekushinda basi tumia hicho kama kigezo cha kutomtilia maanani. Ila nakupa pole najua ilivyo ngumu kumsahau mtu uliyempenda kwa dhati. As for me, years have passed and I'm still struggling to forget him. Ha ha haaaaa, kaaazi kweli kweli!
hehe let me do that
waitin in vain!usiku kucha mimacho nimeitoa kama kuna message!hahahahah.......!umenipatia
Mtu kutokuwa muaminifu kwa karne hii ni hatari sn kwan unaweza kufa kwa msongo uliochanganyka na maradhi.
mpotezee tu ,manake hana dalili yakubadirika ndo kwanza ameanza tongoza wengne(sio mwengne)hiyo ni hatari mrembo.
haya mambo yanauma sn ila ndo tujitahd kujipa mapenz wenyewe ili tuepuke maumivu,
kumbe is dead,R.I.P Excellenthehehe i think excellent is dead,thanx mamie so much.
kumbe is dead,R.I.P Excellent
Pole sana. I've been there so nakuelewa. Hapa na mimi ndo najitahidi kumsahau alienitenda.