Nashindwa kumsahau mpenzi wangu wa zamani, moyo bado wamuhitaji

UNAYEMPENDA ANAKUPENDA??

NAKUSHAURI DADANGU.. NI BORA UJIFUNZE KUMPENDA ANAYEKUPENDA KULIKO KUMLAZIMISHA ASIYEKUPENDA AKUPENDE...
KANUNI MUHIMU HAPA NI MOJA TU.. KAMA ANAKUPENDA KWA DHATI BASI JITAHIDI SANA KUWEKA AKILINI MAZURI YAKE NA USIRUHUSU KABISA MABAYA YAKE YATAWALE KICHWA MAANA HAPO UTAINGIZA UZURI WA YULE ALOKUACHA MIAKA KADHAA NYUMA.. JIFUNZE KUPENDA, HATA BIKRA ILITOLEWA KWA KUJIFUNZA TU.
 
you are talking about chemistry sisi tunaongelea mwanaume ambae anaenda kukutoa aibu na kulupa heshima ya kuwa mke and soon mama....huo uzungu mwingi utakucost mkuu Mungu akusaidie lakini jua kama huyo jamaa angekupenda kweli angekuoa ila alikuwa mpitaji kwako, sijui kwanini hulioni hili.
Ahsante mkuu, nitazingatia ushauri wako
Ila sina uzungu wowote nimejaribu kuelezea hisia zangu ili hata nikipata ushauri unakua upo full packaged
Shukrani
 
UNAYEMPENDA ANAKUPENDA??

NAKUSHAURI DADANGU.. NI BORA UJIFUNZE KUMPENDA ANAYEKUPENDA KULIKO KUMLAZIMISHA ASIYEKUPENDA AKUPENDE...
KANUNI MUHIMU HAPA NI MOJA TU.. KAMA ANAKUPENDA KWA DHATI BASI JITAHIDI SANA KUWEKA AKILINI MAZURI YAKE NA USIRUHUSU KABISA MABAYA YAKE YATAWALE KICHWA MAANA HAPO UTAINGIZA UZURI WA YULE ALOKUACHA MIAKA KADHAA NYUMA.. JIFUNZE KUPENDA, HATA BIKRA ILITOLEWA KWA KUJIFUNZA TU.
Najifunza hii kanuni, ahsante kwa ushauri
 
Maisha mafupi. Umempenda mtu? Mwambie.

Unataka utumie nusu saa ijayo kitandani na huyu mtu yupo mbele yako? Mwambie usijivunge.

Go get your nigga
 
Hujasema kwann Yule wa kwanza ulimdanganya kua umeolewa, na huyu ulienaye mliwezaje kuanzisha process za ndoa wakati huna "chemistry" nae!!!
 
Thanks Castr
Ngoja nijilipue likibuma narudi kwa back up wangu ....
Wish me luck
 
Ahahaaa...wanawake bhna,uskute anaongea ayo kwasababu yule jamaa (x wake) ameoa au anataka kuoa mwanamke kisu zaidi ya yy afu maisha jamaa ndo yamemnyookea...Sasa ule wivu na madudu aliyomfanyia uyo jamaa Basi nafsi inamsutaa...

Pole snaa mkuu Kama nakuona hviiii
 
Hujasema kwann Yule wa kwanza ulimdanganya kua umeolewa, na huyu ulienaye mliwezaje kuanzisha process za ndoa wakati huna "chemistry" nae!!!
Mkuu huyu wa mwanzo nilimwmbia hivyo sbabu tulitofautiana mambo fulani, nilikua nina hasira nae halafu bado ananitaka turudiane khali ya kuwa tofauti zetu hakutaka kuniweka wazi.
Mie ndio nikajibu mimi mke wa mtu sitaki mazoea nae, mara zote huniuliza kama kweli nimeolewa na humjibu ndio
Kuhusu huyu mjaji nyumbn yeye ndio anafosi tuoane sababu anasema kachoka kuwa bachela na anahisi mimi ni mtu sahihi kwake
 
Ahahaaa...wanawake bhna,uskute anaongea ayo kwasababu yule jamaa (x wake) ameoa au anataka kuoa mwanamke kisu zaidi ya yy afu maisha jamaa ndo yamemnyookea...Sasa ule wivu na madudu aliyomfanyia uyo jamaa Basi nafsi inamsutaa...

Pole snaa mkuu Kama nakuona hviiii
Yaan kweli kama waniona vileee
By the way x mambo yake hayajanyooka , haja chumbia mahali, mademu wa kali anaweza kuwa nao lkn sio sababu ya mimi kuwa hivyo
 
Mkuu huyu wa mwanzo nilimwmbia hivyo sbabu tulitofautiana mambo fulani, nilikua nina hasira nae halafu bado ananitaka turudiane khali ya kuwa tofauti zetu hakutaka kuniweka wazi.
Mie ndio nikajibu mimi mke wa mtu sitaki mazoea nae, mara zote huniuliza kama kweli nimeolewa na humjibu ndio
Kuhusu huyu mjaji nyumbn yeye ndio anafosi tuoane sababu anasema kachoka kuwa bachela na anahisi mimi ni mtu sahihi kwake
Kumbe hasira imekuponza kwa kutaka kumkomoa! Anyway pole mkuu
 
Wanawake wanapenda taratibu Sana, muombe Mungu asiwe anakosea kosea Mambo utajuta.
Jitahidi kuwa mtu mzuri na ufanye Yale unayopenda ili kufidia Ile chemistry ambayo haipo
 
Haya maisha bana, wewe unamuwaza na umeshamwambia umesholewa , usikute sasa hivi amshapata mpenzi mwingine na ww amshakusahau , Sana Sana kilichobaki kwako atakua anapasha kiporo tu na kurudi kea mpenzi wake ,
Jaribu tu kumsahau ili maisha yaendelee kwan mlizaliwa pamoja c mmekutana ukubwan , acha kufeli
 
Wanawake wanapenda taratibu Sana, muombe Mungu asiwe anakosea kosea Mambo utajuta.
Jitahidi kuwa mtu mzuri na ufanye Yale unayopenda ili kufidia Ile chemistry ambayo haipo
Nitajitahd , ingawaje naomba sana niridhiane na huyu wa sasa
 
Back
Top Bottom