Ahsante mkuu, nitazingatia ushauri wakoyou are talking about chemistry sisi tunaongelea mwanaume ambae anaenda kukutoa aibu na kulupa heshima ya kuwa mke and soon mama....huo uzungu mwingi utakucost mkuu Mungu akusaidie lakini jua kama huyo jamaa angekupenda kweli angekuoa ila alikuwa mpitaji kwako, sijui kwanini hulioni hili.
Najifunza hii kanuni, ahsante kwa ushauriUNAYEMPENDA ANAKUPENDA??
NAKUSHAURI DADANGU.. NI BORA UJIFUNZE KUMPENDA ANAYEKUPENDA KULIKO KUMLAZIMISHA ASIYEKUPENDA AKUPENDE...
KANUNI MUHIMU HAPA NI MOJA TU.. KAMA ANAKUPENDA KWA DHATI BASI JITAHIDI SANA KUWEKA AKILINI MAZURI YAKE NA USIRUHUSU KABISA MABAYA YAKE YATAWALE KICHWA MAANA HAPO UTAINGIZA UZURI WA YULE ALOKUACHA MIAKA KADHAA NYUMA.. JIFUNZE KUPENDA, HATA BIKRA ILITOLEWA KWA KUJIFUNZA TU.
Jina lako lanifurahisha, najua ni jina tu halihusiani na tabia.Umeniita mkuu,
Good luckThanks Castr
Ngoja nijilipue likibuma narudi kwa back up wangu ....
Wish me luck
Mkuu huyu wa mwanzo nilimwmbia hivyo sbabu tulitofautiana mambo fulani, nilikua nina hasira nae halafu bado ananitaka turudiane khali ya kuwa tofauti zetu hakutaka kuniweka wazi.Hujasema kwann Yule wa kwanza ulimdanganya kua umeolewa, na huyu ulienaye mliwezaje kuanzisha process za ndoa wakati huna "chemistry" nae!!!
Yaan kweli kama waniona vileeeAhahaaa...wanawake bhna,uskute anaongea ayo kwasababu yule jamaa (x wake) ameoa au anataka kuoa mwanamke kisu zaidi ya yy afu maisha jamaa ndo yamemnyookea...Sasa ule wivu na madudu aliyomfanyia uyo jamaa Basi nafsi inamsutaa...
Pole snaa mkuu Kama nakuona hviiii
Kumbe hasira imekuponza kwa kutaka kumkomoa! Anyway pole mkuuMkuu huyu wa mwanzo nilimwmbia hivyo sbabu tulitofautiana mambo fulani, nilikua nina hasira nae halafu bado ananitaka turudiane khali ya kuwa tofauti zetu hakutaka kuniweka wazi.
Mie ndio nikajibu mimi mke wa mtu sitaki mazoea nae, mara zote huniuliza kama kweli nimeolewa na humjibu ndio
Kuhusu huyu mjaji nyumbn yeye ndio anafosi tuoane sababu anasema kachoka kuwa bachela na anahisi mimi ni mtu sahihi kwake
Nitajitahd , ingawaje naomba sana niridhiane na huyu wa sasaWanawake wanapenda taratibu Sana, muombe Mungu asiwe anakosea kosea Mambo utajuta.
Jitahidi kuwa mtu mzuri na ufanye Yale unayopenda ili kufidia Ile chemistry ambayo haipo