Nashindwa kumfikisha nifanyaje?

Nashindwa kumfikisha nifanyaje?

Tafuta makungwi wakufunde mambo ya chumbani, inavyoelekea humpatii mumeo sawasawa usipoangalia utasaidiwa na wajuzi wa mambo.
 
Haya... Lakini mi naona ilikua poa tuu siku mbili hiz tatu ndio shida imeanza kutokea.. Sio kwamba ni kibamia Yuko kawaida tuu. Labda mnisaidie kama kuna mtu anafahamu vitu asili vya kuongeza nguvu za kiume.
 
Jamani Naombeni msaada wenu. Nashindwa kufanya mme wangu afike kileleni. Mara tukianza nikiwa juu nikikaa muda kidogo anasema namuumiza akija juu yangu kikichomoka anakasirika na kinakua kimelala sasa. kanikasirikia sasa tatizo nini? . Nifanyaje?
una umri gani?
 
Tulikua tunafanya vizuri kabisa nashangaa siku hizi mbili tatu mambo hayaeleweki...

Usiogope wala usifadhaike. Ana kitu inaitwa mawazo, haswa ya kifedha. Usimsumbue kwa mambo ya mahitaji leo, usimtikise kwa maneno maneno haswa pia kuhusu hio hali maneno ka unawengine, unaninyima raha etc. Mtie moyo kuwa unampenda na unamthamini.
Angalia pia maakuli yako unayo mpa. Je ni vyakula vya kutia joto mwili au?? Jaribu mautundu mengine, kama kuoga pamoja, angalia nguo unayotumia usiku, Kanga moko au jeans? Mmekaa pamoja mda gani? mna watoto? Yapo mengi ila weye ndio mwenye ufunguo wa kulirudisha gari barabarani kwani laelekea mtaroni
 
Duuuuuh Mangatara Nakushukuru sana. Bado hatuna mtoto ndoa Ina miezi 6 sasa. Nashukuru sana kwa ushauri wako.
 
Mimi nafikiri jamaa anatakiwa apewe uangalizi na wataalam wa mambo ya uzazi na lishe kabisaa
 
Usiogope wala usifadhaike. Ana kitu inaitwa mawazo, haswa ya kifedha. Usimsumbue kwa mambo ya mahitaji leo, usimtikise kwa maneno maneno haswa pia kuhusu hio hali maneno ka unawengine, unaninyima raha etc. Mtie moyo kuwa unampenda na unamthamini.
Angalia pia maakuli yako unayo mpa. Je ni vyakula vya kutia joto mwili au?? Jaribu mautundu mengine, kama kuoga pamoja, angalia nguo unayotumia usiku, Kanga moko au jeans? Mmekaa pamoja mda gani? mna watoto? Yapo mengi ila weye ndio mwenye ufunguo wa kulirudisha gari barabarani kwani laelekea mtaroni

Asipofanyia kazi ananta masikioni
 
jukwaa uliloleta huku ndio majanga, watu leo wana mwaga tu maneno ya shaha..., ila du huyo mwanaume wa ajabu aisee, hiyo kuna nazi anasema kibao kinaumiza, wakati kwangu uwa napiga magoli ya juu, tena kwenye angle hasa ukikuta kibao kinakata.
 
Haya... Lakini mi naona ilikua poa tuu siku mbili hiz tatu ndio shida imeanza kutokea.. Sio kwamba ni kibamia Yuko kawaida tuu. Labda mnisaidie kama kuna mtu anafahamu vitu asili vya kuongeza nguvu za kiume.

Ni PM ntajaribu kumsaidia
 
Proffesor anasema ... kuna dawa nying za asili... ya Kwanzaa maziwa fesh mix na asali, abdalasin na karanga... anywe asubuh kama chai na jion .. afu awe anatafuna vitunguu swaumu asilimia 90% kwa siku .. zipo na nyingine ...!! Trust me three weeks uje unipe feedback. ..
 
kwani hapo kati ya wewe na yeye nani hamfikishi mwenzie kileleni??

kwa hapo wewe uafika??

hapo kuna tatizo la kisaikolojia na maumbile pia...........
huwezi ukakaa juu yake akaumia ki kawaida hata siku moja na wewe ukiwa chini ati ''kinachomoka'' mean kuwa ana kidole cha mwisho au??

kama inalala kabla hajamaliza means kuwa ana tatizo la ki afya au ww pia unaweza kuchangia kwa asilimia kubwa,,

mfano ukiwa unafanya mapenzi ikitokea umetoa kauli mbaya kwa mpenz wako hamu ya tendo ilaisha, ama kama ni mchafu kupitiliza ''unatoa harufu mbaya'' hata mimi ningeshindwa.....
pia kutokujishughulusha kuna maliza hamu ila si kutokumaliza tendo,

mengne naogopa kuongea zaid hapa kama hutojali ni PM
 
Haya... Lakini mi naona ilikua poa tuu siku mbili hiz tatu ndio shida imeanza kutokea.. Sio kwamba ni kibamia Yuko kawaida tuu. Labda mnisaidie kama kuna mtu anafahamu vitu asili vya kuongeza nguvu za kiume.

sasa kama alikuwa kawaida siku mbili hizi ndiyo mmebadili diet nyumbani? ongea naye vizuri huenda ana mambo yamemtinga kichwani, au labda (labda) ana kamchepuko hana apetite na wewe. mchemsho wa kuku wa kienyeji, matunda hasa tikiti maji, yogurt, akishushia na juisi ya ukwaju kama anapenda mwili utakuwa na nguvu, pia kama anapenda kula karanga mbichi, mihogo mibichi, kutafuna carot (au unaweza kumtengezea juisi ya carot ukaichachua kidogo na ukwaju), jaribu kumweka vizuri siku kama weekend, mkiweza watoto muwapeleke wakasalimie kwa babu au waende na dada yao kutembea, au nyie mnaweza kutoka kabisa siku hiyo mnakwenda mazingira tofauti mnakaa hata beach au sehem iliyotulia mnapiga stroy na kufurahi, baadae mnatupia menyu la ukweli ndiyo mnakwenda kulala, kama ni tatizo la stress na lishe basi utaona tofauti, ukiona amefurahi na kula vizuri lakini bado tatizo lipo basi ni vyema ukamshauri taratibu mkaenda kumwona doctor, huenda ana matatizo kama kisukari, overweight au matatizo mengine. pole ndugu, hakika wewe ni mke mwema kwa sababu unajali!
 
kwani hapo kati ya wewe na yeye nani hamfikishi mwenzie kileleni??

kwa hapo wewe uafika??

hapo kuna tatizo la kisaikolojia na maumbile pia...........
huwezi ukakaa juu yake akaumia ki kawaida hata siku moja na wewe ukiwa chini ati ''kinachomoka'' mean kuwa ana kidole cha mwisho au??

kama inalala kabla hajamaliza means kuwa ana tatizo la ki afya au ww pia unaweza kuchangia kwa asilimia kubwa,,

mfano ukiwa unafanya mapenzi ikitokea umetoa kauli mbaya kwa mpenz wako hamu ya tendo ilaisha, ama kama ni mchafu kupitiliza ''unatoa harufu mbaya'' hata mimi ningeshindwa.....
pia kutokujishughulusha kuna maliza hamu ila si kutokumaliza tendo,

mengne naogopa kuongea zaid hapa kama hutojali ni PM

naona unamvutia pm mke wa mtu....duh!
 
Back
Top Bottom