Nashindwa kumfikisha nifanyaje?

Nashindwa kumfikisha nifanyaje?

Res-q

Member
Joined
Aug 28, 2014
Posts
13
Reaction score
1
Jamani Naombeni msaada wenu. Nashindwa kufanya mme wangu afike kileleni.

Mara tukianza nikiwa juu nikikaa muda kidogo anasema namuumiza akija juu yangu kikichomoka anakasirika na kinakua kimelala sasa. kanikasirikia sasa tatizo nini?

Nifanyaje?
 
Jamani Naombeni msaada wenu. Nashindwa kufanya mme wangu afike kileleni. Mara tukianza nikiwa juu nikikaa muda kidogo anasema namuumiza akija juu yangu kikichomoka anakasirika na kinakua kimelala sasa. kanikasirikia sasa tatizo nini? . Nifanyaje?

Lihi mpya ya Vibmia vs Mtera dam
 
...mkodie boda boda au taksi ili afike kama wewe huwezi kumfikisha...
 
Jamani Naombeni msaada wenu. Nashindwa kufanya mme wangu afike kileleni. Mara tukianza nikiwa juu nikikaa muda kidogo anasema namuumiza akija juu yangu kikichomoka anakasirika na kinakua kimelala sasa. kanikasirikia sasa tatizo nini? . Nifanyaje?

Ligi mpya ya Vibamia vs Mtera dam
 
"KINAKUWA KIMELALA." Hebu fafanua ni kidogo sana? lete majibu na la swali la hapo juu, una kilo ngapi!
kuna mambo mengi ya kujadili hapa ila itategemea na majibu yako! Kwanini kilale wakati hakijamaliza kazi yake!
 
Tatizo kilele chako kirefu sana...

Nimecheka sana....Maana tatizo la kufika kileleni ni la wanawake...
 
Miss neddy hebu msaidieni mwenzenu bana msimcheke tatizo KINALALA KABLA YA KUFIKA,
 
Jamani Naombeni msaada wenu. Nashindwa kufanya mme wangu afike kileleni. Mara tukianza nikiwa juu nikikaa muda kidogo anasema namuumiza akija juu yangu kikichomoka anakasirika na kinakua kimelala sasa. kanikasirikia sasa tatizo nini? . Nifanyaje?

ni mume wako kabisa? mwanzo mlikuwa mnaenjoy sex kama kawaida au?
 
mnh...mwambie apunguze kupiga punyeto
hii inamfanya wakati mnafanya tendo halisi akili yake isiwepo hapo
anakumbuka sabuni tu na limkono lake
 
Hapo inategemeana na mambo mengi! Inawezekana hamjiandai na tendo au inaweza ikawa unambughuzi na akichukia unambembekeza na tendo hill so tazama wapi mnajosea na ujitahidi kumwandaaa
 
Tulikua tunafanya vizuri kabisa nashangaa siku hizi mbili tatu mambo hayaeleweki...
 
mpandishe helicopter atafika kilele cha juu ya mlima bila kuchoka teh teh
 
Jamani Naombeni msaada wenu. Nashindwa kufanya mme wangu afike kileleni. Mara tukianza nikiwa juu nikikaa muda kidogo anasema namuumiza akija juu yangu kikichomoka anakasirika na kinakua kimelala sasa. kanikasirikia sasa tatizo nini? . Nifanyaje?
Njoo pm nikupe namba nitaanza kukufikisha wewe halafu wewe utaenda kufikisha yeye
 
Back
Top Bottom