Nashindwa kumfahamu mwanamke huyuu....

Nashindwa kumfahamu mwanamke huyuu....

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
614
Reaction score
322
Haaaaabari wana JF nisaidieni huyu kimwana tulianza mahusiano kwa muda mrefu sana tukaja tukapoteana kwa sabaubu zisizojulikana ila tulikuia kuonana tena akiwa ameshaanzisha mahusiano na mtu mwejine.

Nilimpotezea kwa muda tena akatengana na huyo bwana wake nikatumia nafasi hio kutoa darasa ilichukua mda hadi kunielewa ila la kushukuru nilipata tena nafasi.

Tuliendelea kuishi kwa raha na furaha kwa muda wa mwaka hivi ila la kushangaza akaamua kunimwaga na kuniambia mm na yeye basi na nisahau kila kilichopita hanihitaji tena kwa kawaida mi si mgumu wa kuelewa niliamua kumbembeleza ila km waswahili wasemavyo "haikufaa rangi ijeifae chokaa" kwa kweli hakutaka kuelewa somo.

Ila kinachonishangaza na kinanifanya nisimuelewe kila siku anapiga simu c chini ya mara 3 mara aseme nakusalimia mara nikekukumbuka mara vp umeenda kazini na sms ndio usiseme akiwa na safari zake mi anataka nimpeleke na nikamchukue akiamua kutika anajifanya ananiaga pia ananihitaji kila siku niende kwao kwa kupiga story.

Najitahidi niwe mvumilivu ila sioni dalili ya kula mbivu.
Nisharoeka sana ngumu ili nile laini ila ngoma bado mzito.

Huyu mwanamke nimueke kundi gani?
 
unaweza ukawa na macho,na vile vile usione.hujui huyo mdada amekufanya kama msukule wake?.kata mawasiliano nae for good.otherwise utakuwa unapelekeshwa tu
 
Ushakua mbuzi mkuu, kakufunga kamba shingoni anakupangia mchongoma gani wa kukufungia hiyo kama kila siku

kata mawasiliano
 
Kuwa na maamuzi yenye faida kwako,mfate mwambie akikataa,mwambie kama ni hivyo hata mawasiliano hayana maana kata kabisa,hata akijileta mpotezee labda aje ajikabidhi mwenyewe otherwise timua kabisa.mwanzoni utahangaika kumpotezea wakati unataka ila ukivumilia utazoea
 
Anzisha project nyingine, kuwa nayo bize huku ukimwambia uko na wifi yake. Onyo, hiyo project lazima ifahamu pia japo kidogo hiyo last project ili kupunguza msuguano ndani. Otherwise, yawezekana aliamua kufanya hivyo ili kujaribu kwingine baada ya kukuchoka wewe, sasa kajikuta wewe unaunafuu kwa hiyo anashindwa akuambiaje ili arudi.
 
Kwa hiyo we unavyoona huyo anakupenda?
she jus play wth your feelings,mteme mazima,kata mawasiliano nae!
kupenda si kazi,kazi kupata anaekupenda baba, endelea kua zoba shaurilo!
 
Kama huna kazi bora ungekwenda kumuomba mungu au kupumzika,ivi huoni kama anakufanya ZUZU? haya akipiga tena mwambie ile sms ulotuma jana imeleta balaa ile mbaya Mpenzi wangu kaiona sasa naoma tuishie hapa ...
 
Back
Top Bottom