Naona wanashida mtambo wao wa internet,maana nilienda posta leo mfanyakazi alikuwa analalamika hana mawasiliano ya kimtandao (internet) anashindwa kusajili vipaseli kwenye mfumo
Last week niliamua nicheck data plans zA TTCL, nikakutana na tatizo Hilo hilo. Nimewauliza kwenye uzi wao wa malalamiko na mapendekezo, sijajibiwa. Hii nchi kuendelea inahitaji miujiza