Nashindwa kuipata hii picha - nisaidieni!

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
233
Nashindwa kuipata hii picha: Mtu wa magwanda ya kijani - tuseme Nape au Chiligati au Hizza anahutubia jukwaani kwenye mkutano wa hadhara wa chama halafu FFU wanakwenda kumteremsha na kumtia mbaroni kwa sababu amepitiliza muda wa mkutano ulioruhusiwa!
 
hujiulizi ditopile mzuzuri aliua na akapewa dhamana?ukiua wewe unaambiwa kesi ya mauji haina dhamana
 
Back
Top Bottom