kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 16,252
- 16,171
Tuko marafiki watatu wa kiume wa karibu sana tangu shule ya sekondari, Jeshini hadi Chuo Kikuu, tumeoa na tuna watoto, lakini bahati mbaya rafiki yetu mmoja anatembea na mke wa rafiki yetu mmojawapo kwa zaidi ya miaka 5 sasa.
Mimi ninafahamu uovu huo lakini nashindwa kumtonya rafiki yetu mwenye mke kwa kuhofia kitakachotokea. Anayetembea na mke wa mwenzake hajui kama mimi ninajua.
Shemeji anajua kama mimi ninajua kwamba anatembea na rafiki yetu kwa kuniambia yeye mwenyewe, mwenye mke hajui kabisa kama hili linafanyika. Sijui kama na mke wangu pia kasalimika kwa aina hii.
Nipeni mawazo nifanye nini kwenye hili