Nashindwa kufanya screen shot

Bonyeza kwa pamoja button ya kuwasha cm pamoja na kupunguza sauti kumbuka kuwa unazibonyeza kwa pamoja
 
Natumia huawei y530. Naomba maelekezo mazuri plz

hakikisha volume button imepunguza sauti hadi mwisho yaani simu yako iwe in vibration au silent mode kisha hold kwa Pamoja on/off button Pamoja na button ya kupunguza sauti kwa Pamoja.
 
hakikisha volume button imepunguza sauti hadi mwisho yaani simu yako iwe in vibration au silent mode kisha hold kwa Pamoja on/off button Pamoja na button ya kupunguza sauti kwa Pamoja.

si lazima iwe kwenye vibration au silent mode...
cha muhimu ni hiyo tu kubonyeza hizo buttons kwa pamoja.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…