If you try to please all you please non, kwa hiyo unaweza kusamehe mpira kwa ajili yake? na kama mrembo yuko 70% sawa mpira unaweza ufanya number 2 ili moja umpe yeye na umuonyeshe...sina huo munkari aisee, mpira upo na maisha lazima yaendelee ninachotaka mimi everyone 2 be hapy
point ya msingi ni hupati chochote uende kuangalia mechi wala usiangalie..huongezewi wala hupungukiwi kitu...mtanzania unaulizwa swali nawe unauliza..jingine tena..hahahahahawe unadhan furaha ni pesa peke yake?
kwanza me sio mtoto alaf nikipiga wote chini iyo furaha itatoka wapi?
point ya msingi ni hupati chochote uende kuangalia mechi wala usiangalie..huongezewi wala hupungukiwi kitu...mtanzania unaulizwa swali nawe unauliza..jingine tena..hahahahaha
Nilikuwa Naangalia soccer net press pass ya this morning kuna jamaa jana amelia kwa saa lizima na kugoma kutoka uwanjani baada ya timu yake anayoipenda Celtic kufungwa 3 - 0 na juventus kwenye champions league.. Jamaa anadai imemuuma sana kuona timu yake inatolewa katika uwanja wao wa nyumbani.. Bora wangefungiwa ugenini,,
Nikasema hizi feelings za mpira tungekuwa nazo kwa wake zetu mbona wangefurahi mpaka kuchanganyikwa...
ukishakuwa kwenye ndoa majukumu ni tofauti na sasa, alaf najua ninachokifanya,nimekueleza situation we unanihukumu.
Habari waungwana,
Nimeanza kazi moro nina kam miezi 9 na nimeanzisha uhusiano na binti mmoja alie jaaliwa uzuri miezi 3 iliyopita. Yeye yupo UDSM mwaka wa 2. Kwa bahati nimeamishiwa kikazi DSM. Mimi ni mpenzi sana wa mpira na analijua hili. Kutokana na kazi siku za kawaida nipo bize sana na yeye bize na masomo, weekend nipo free na yeye pia
Tatizo: Huwa anakuja kunitembelea weekend jioni muda ambao mechi nyingi zinachezwa na mimi bila kucheki mpira nakosa raha kabisa na anafahamu. Muda mwingine mechi zikianza jioni ni mpaka usiku, na nikisema nisiende kuangalia mpira nikae nae muda mwingi nacheki update za matokeo ya mechi kwenye simu. Hali hii imekuwa ikimkera na kukasirika mpaka imefikia hatua ameniambia nichague moja yeye ama mpira. wote wanakamilisha furaha yangu.sijui chafanya hadi sasa
msaada waungwana
Usijidanganye brave one kama umeshindwa kutenga muda kwa ajili ya mtu mmoja tu sijui kama itakuwa rahisi kwako kutenga muda kwa ajili ya watu wawili au zaidi,starti tuning yourself now, huu ndio muda wako wa kuanza kufanya practise ya kubeba majukumu ya familia na si baada ya hapo.ukishakuwa kwenye ndoa majukumu ni tofauti na sasa, alaf najua ninachokifanya,nimekueleza situation we unanihukumu.
Ungekuwa unajua unachokifanya hii thread isingekuwepo.
Amua kipi muhimu zaidi, kama ni mpira mwambie "nilikutana na mpira kwanza,nikampenda yeye kwanza, kabla hata hujanijua hivyo usijaribu kushindana nae." aamue kukaa ama kuondoka.
Haki ya nani vile!!!!!!afu cha kushangaza ushabiki tunaokuwa nao hauna maana coz hizo timu au wachezaji hawana hata aware kuwa kuna mtu amegoma kulala kwa ajili yao,we unakesha unalia wenzio wakitoka hapo wanaenda kula raha kwenye maclubs milioni milioni za mshahara zipo pembeni zinawasubiri wakimaliza hapo wanaenda kuutitika usingizi weeee,we upo macho hayooooo yamekuwa mekundu umekosa usingizi kisa timu imefungwa daaaaahhhhh!!!!!!Nilikuwa Naangalia soccer net press pass ya this morning kuna jamaa jana amelia kwa saa lizima na kugoma kutoka uwanjani baada ya timu yake anayoipenda Celtic kufungwa 3 - 0 na juventus kwenye champions league.. Jamaa anadai imemuuma sana kuona timu yake inatolewa katika uwanja wao wa nyumbani.. Bora wangefungiwa ugenini,,
Nikasema hizi feelings za mpira tungekuwa nazo kwa wake zetu mbona wangefurahi mpaka kuchanganyikwa...
ivi ni vitu viwili tofauti na mapenzi ni maisha na mpira ni kiburudisho ili maisha yaende viburudisho lazima viwepo kuondoa stress
Usijidanganye brave one kama umeshindwa kutenga muda kwa ajili ya mtu mmoja tu sijui kama itakuwa rahisi kwako kutenga muda kwa ajili ya watu wawili au zaidi,starti tuning yourself now, huu ndio muda wako wa kuanza kufanya practise ya kubeba majukumu ya familia na si baada ya hapo.
Haki ya nani vile!!!!!!afu cha kushangaza ushabiki tunaokuwa nao hauna maana coz hizo timu au wachezaji hawana hata aware kuwa kuna mtu amegoma kulala kwa ajili yao,we unakesha unalia wenzio wakitoka hapo wanaenda kula raha kwenye maclubs milioni milioni za mshahara zipo pembeni zinawasubiri wakimaliza hapo wanaenda kuutitika usingizi weeee,we upo macho hayooooo yamekuwa mekundu umekosa usingizi kisa timu imefungwa daaaaahhhhh!!!!!!
Au wale wapenzi wa tamthilya[na mi mmoja wao]ukiona mamain karaktas ie maheroes au wapenzi wamekosana,au sehemu ilipoishia ni kali ya kukuweka roho juu juu,usiku mzima hulali unawazaa sijui kesho itakuwaje,roho inkuuma weeeee wakati wenzako wamemaliza casting siku nyingi na wakati huo wanakula bata au matunda ya kazi zo hhhaaaaaaa yaani huu ushabiki,mi sa hivi nimepunguza ushabiki wa kihivyo baada ya kutafakari na kuona ni kupoteza muda tu!!!!!