Nashindwa kuchagua pa kuhamia...

Nashindwa kuchagua pa kuhamia...

Wakuu vip hz A series za samsung kama A10,A20,A30.....naona kama A20 battery ni 4000mAh je ni kwel chaja inakaa? au specie haiendani na perfomance ya battery kwa waliowahi kutumia hz cm watujuze maana na mm nilikuwa nataka nichukue A20
Haziendani mkuu,
 
Anataka simu inayokaa na charge muda mrefu
Sina hakika kama infinix s4 anamfikia brand za REDMI kuanzia redmi 7,Mi a2 lite,Redmi note 7,redmi note 6 nakuendelea maana ziko vizuri kwa performance na ukaaji na moto.

Uki compare na hiyo infinix s4 anatumia Helio p22 sina hata uhakika kama hiyo battery ya 4000 itadumu ukaaji wake moto hata miezi 6.
 
Hv ni vigezo gani vya ukaaji moto kati ya mtu anatetumia Soc ya MTK na Soc ya Sd...kuanzia durability mpk performance?

Inategeme boss na series ya hiyo chip maana kwa hiyo simu aliyekuwa recomended ni inatumia helio p22 ambayo unapata kwenye xiaomi za bei ya kati 250 hadi 300k ila kwa perfomance haina maajabu sana hivo unapozishindanisha hizi mbili inategemea unashindanisha series zipi mkuu kwa ufupi zinashindana inategemea unataka nini au una matumizi gani ya simu.
 
Mkuu hujaelewa point yangu...nauliza kati ya Soc ya Snapdragon na Mediatek ipi ina uwezo wa kukaa na chaji au battery optimization kulko nyengine?

Mfano helio p60 na snapdragon 625 basi hapo mediatek yuko vizuri.
 
Tafuta huawei ile iliyopigwa burn America. Hakika hutaijutia
 
Back
Top Bottom