Am glad to hear that baby [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] unajua in this year nmefanikiwa ktk baadhi ya mipango yangu But let me take this opportunity to tell you that "my Most brilliant achievement in my to do list ,was my ability to persuade you to be my Sweetheart" [emoji24] [emoji24] [emoji24] ..Kapeace Wangu wewe sio tu kwamba una sura nzuri ,, una umbo zuri Bali hata moyo wako pia nimzuri ulojawa huruma na upendo ambao nmeshinda kuulinganisha ,, kwakweli Siwezi hata kubadilishana sekunde moja nayotumia kwako na mamilion yanpesa ...[emoji8] [emoji8] [emoji8] .
My kapeace you are second to none ,,kila Mara napotozama Ur Gorgeous Face nahisi kama moyo Wangu unayeyuka ndani ya mapenzi yako baby[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] .
Kila napokaaa najikuta sijutii siku Zangu nilizozitumia kuota siku moja kua namwanamke mzuri kama,,, nasasa nipo naww najihisi kama naishi ndani ya ndoto ambayo sihitaji niwe nje ( nisituke).
Baby namengi ya kukuelezea Lkn naomba nikuhakikishie You are as beautiful outside and inside baby hahahahah I can't wait..... Love on fireeeeeeee .....usiachie my kapeace !!!!![emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] .