Nashindwa Kabisa kumuacha huyu mwanaume

Nashindwa Kabisa kumuacha huyu mwanaume

Am glad to hear that baby [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] unajua in this year nmefanikiwa ktk baadhi ya mipango yangu But let me take this opportunity to tell you that "my Most brilliant achievement in my to do list ,was my ability to persuade you to be my Sweetheart" [emoji24] [emoji24] [emoji24] ..Kapeace Wangu wewe sio tu kwamba una sura nzuri ,, una umbo zuri Bali hata moyo wako pia nimzuri ulojawa huruma na upendo ambao nmeshinda kuulinganisha ,, kwakweli Siwezi hata kubadilishana sekunde moja nayotumia kwako na mamilion yanpesa ...[emoji8] [emoji8] [emoji8] .
My kapeace you are second to none ,,kila Mara napotozama Ur Gorgeous Face nahisi kama moyo Wangu unayeyuka ndani ya mapenzi yako baby[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] .

Kila napokaaa najikuta sijutii siku Zangu nilizozitumia kuota siku moja kua namwanamke mzuri kama,,, nasasa nipo naww najihisi kama naishi ndani ya ndoto ambayo sihitaji niwe nje ( nisituke).

Baby namengi ya kukuelezea Lkn naomba nikuhakikishie You are as beautiful outside and inside baby hahahahah I can't wait..... Love on fireeeeeeee .....usiachie my kapeace !!!!![emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] .
For real??
 
Naota au Kweli my king, laaziz mkalia ini wangu nakuahidi kukubatiza kila asubuhi na jioni kwa maji ya moto [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Ntakuwa pembeni yako iwe masika, kiangazi au kipupwe, ntakulea kama yai ktk mikono yangu, I love you so much my sweetboy
 
For real??
Yes for real ,, en y not Mr ??? Unajua a woman with a polite devotion is soo much beautiful ,,and she deserve to be loved and nothing else .

Hujuu tuu mkuuu ,,huyu kamanda kapeace mmhhhh wakat mwingine hata kutaja jina lake tuu nashiba [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
That's y I lap you my one and only good boy,
 
Naota au Kweli my king, laaziz mkalia ini wangu nakuahidi kukubatiza kila asubuhi na jioni kwa maji ya moto [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Ntakuwa pembeni yako iwe masika, kiangazi au kipupwe, ntakulea kama yai ktk mikono yangu, I love you so much my sweetboy
I love you too baby , I love you soo much ..niseme tu wasichana wote nimalaika LAKINI KAPEACE Wangu Wewe ni Malikia wao .[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
640e6819a5f07d384ec0020ed5573cf4.gif
 
Asante darling, hicho kikatuni kimenikumbusha story ya kambuzi ulonipa asubuhi, [emoji23] [emoji23] [emoji23] ninefurahiiii kweli
 
That's y I lap you my one and only good boy,
[emoji8] [emoji8] [emoji8] thanks Darling in Our love I am just a *Boss* and you my Queen you are *A DECISION MAKER* ....Bila wewe mambo yatakwenda mrama ,,, nakwakua you a best woman ,,All is well [emoji123] [emoji123] [emoji123]
 
Asante darling, hicho kikatuni kimenikumbusha story ya kambuzi ulonipa asubuhi, [emoji23] [emoji23] [emoji23] ninefurahiiii kweli
Hahahahhaa naunavyopenda stor baby hahahahah naona umecheka mpaka mpaka moyo umetikisika in the name of Putin.
 
[emoji8] [emoji8] [emoji8] thanks Darling in Our love I am just a *Boss* and you my Queen you are *A DECISION MAKER* ....Bila wewe mambo yatakwenda mrama ,,, nakwakua you a best woman ,,All is well [emoji123] [emoji123] [emoji123]
Asante mfalme wangu wa enzi, mwanaume ujuae kudekeza mwanamke ujuae kutunza hisia zangu kuvumilia madhaifu yangu kunisifia kwenye kadamnasi na kunikosoa chumbani ooh nakupenda sana[emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
Am glad to hear that baby [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] unajua in this year nmefanikiwa ktk baadhi ya mipango yangu But let me take this opportunity to tell you that "my Most brilliant achievement in my to do list ,was my ability to persuade you to be my Sweetheart" [emoji24] [emoji24] [emoji24] ..Kapeace Wangu wewe sio tu kwamba una sura nzuri ,, una umbo zuri Bali hata moyo wako pia nimzuri ulojawa huruma na upendo ambao nmeshinda kuulinganisha ,, kwakweli Siwezi hata kubadilishana sekunde moja nayotumia kwako na mamilion yanpesa ...[emoji8] [emoji8] [emoji8] .
My kapeace you are second to none ,,kila Mara napotozama Ur Gorgeous Face nahisi kama moyo Wangu unayeyuka ndani ya mapenzi yako baby[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] .

Kila napokaaa najikuta sijutii siku Zangu nilizozitumia kuota siku moja kua namwanamke mzuri kama,,, nasasa nipo naww najihisi kama naishi ndani ya ndoto ambayo sihitaji niwe nje ( nisituke).

Baby namengi ya kukuelezea Lkn naomba nikuhakikishie You are as beautiful outside and inside baby hahahahah I can't wait..... Love on fireeeeeeee .....usiachie my kapeace !!!!![emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] .
Hahaha Mills & Boon!
 
Asante mfalme wangu wa enzi, mwanaume ujuae kudekeza mwanamke ujuae kutunza hisia zangu kuvumilia madhaifu yangu kunisifia kwenye kadamnasi na kunikosoa chumbani ooh nakupenda sana[emoji8] [emoji8] [emoji8]
Baby nitaanzaje kukaaa nisiuelezee uzuri wako ??? How com ??? ..nmeshakuakikishia Am ready to stand with you and say " I love you KAPEACE " ...[emoji7] [emoji7] [emoji7] .

Kiukweli nisipoelezea uzuri wako moyo Wangu lazima uhangaike misili ya ndama mwenye kiu ya maziwa na chakula nasasa anamtafuta mamaye akapate kukata kiu yake [emoji23] [emoji23] [emoji23] .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom