Nashindwa Kabisa kumuacha huyu mwanaume

Nashindwa Kabisa kumuacha huyu mwanaume

Ma x hao kwa kupenda kukumbushia Mh, huwa siruhusu huo upupu mimi
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] I don't wanna to be ur X baby ..I will always live in ur socks so that for each and ever step unayochukua Niwe nawewe my baby ....

Tamu yako nizaidi ya Asali ,,I wish more more more times with you Ma kapeace [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] .

Ikiwezekana baby nakuomba tuwe wote kwa miaka 100 tu mia moja tuuuu ..alafu ndio tuachane.
 
Maneno matamu matamu km haya jamoni bebe unambie mimi tu basi usimpe mwingine, na mimi Hii ni yako peke yako
 
Kumbushianeni tu.... Hakuna movie isiyokuwa na KUMBUKUMBU
 
Mwaka mmoko nanusu toka mtosane bado tu ujapata wakukuoa, utaolewa kwel wewe?? Amini nakwambia ukimvulia2 tena chupi amini utakuwa umesogeza miaka mingi mbele yakumpata waubani wako wakufa nakuzikana mpaka hapo utakapokuwa umekuwa nakujitambua
 
Flulanga ndoa ni majaaliwa...
 
Maneno matamu matamu km haya jamoni bebe unambie mimi tu basi usimpe mwingine, na mimi Hii ni yako peke yako
Am glad to hear that baby [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] unajua in this year nmefanikiwa ktk baadhi ya mipango yangu But let me take this opportunity to tell you that "my Most brilliant achievement in my to do list ,was my ability to persuade you to be my Sweetheart" [emoji24] [emoji24] [emoji24] ..Kapeace Wangu wewe sio tu kwamba una sura nzuri ,, una umbo zuri Bali hata moyo wako pia nimzuri ulojawa huruma na upendo ambao nmeshinda kuulinganisha ,, kwakweli Siwezi hata kubadilishana sekunde moja nayotumia kwako na mamilion yanpesa ...[emoji8] [emoji8] [emoji8] .
My kapeace you are second to none ,,kila Mara napotozama Ur Gorgeous Face nahisi kama moyo Wangu unayeyuka ndani ya mapenzi yako baby[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] .

Kila napokaaa najikuta sijutii siku Zangu nilizozitumia kuota siku moja kua namwanamke mzuri kama,,, nasasa nipo naww najihisi kama naishi ndani ya ndoto ambayo sihitaji niwe nje ( nisituke).

Baby namengi ya kukuelezea Lkn naomba nikuhakikishie You are as beautiful outside and inside baby hahahahah I can't wait..... Love on fireeeeeeee .....usiachie my kapeace !!!!![emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom