pet geo pet
JF-Expert Member
- Jun 30, 2018
- 518
- 815
Wakuu kama kichwa cha habari kisemavyo.naomba mtu au yeyote anaeuza mzani huo.au kama anafaham mtu anauza mzani anipe tarfa.
Pia naomba kujua bei yake hapa hapa ili nijue kama stapigwa hapa mjini(dar).
Karibuni kwa mawazo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia naomba kujua bei yake hapa hapa ili nijue kama stapigwa hapa mjini(dar).
Karibuni kwa mawazo.
Sent using Jamii Forums mobile app