Hellow wana JF.
Hii hali ya kuwaondoa machinga na watu wanao uza kwenye meza pale kariakoo bila kuwaelekeza wapi waende naona kama haijazingatia pande zote mbili(wananchi-serikali).
Nashauri Pale kariakoo baadhi ya nyumba za NHC chakavu chakavu zivunjwe alafu yajengwe maeneo ya machinga(wafanya biashara wadogo wadogo) then walipishwe ushuru/kodi.