Nashauri wote msome hii Thread, especially wanaume.

Hadithi ni nzuri na ya kusikitisha, hongera zimuendee mtunzi kwa kuweza kufikisha ujumbe kwa style hii!
 
Hadithi ni ya kupika, no doubt. But it was intended to be effective, and I think the writer has, to some extent achieved this end. It shocks, it scares, it warns, it prompts you to pause and think - and yes, feel deeply - for the girl and life's pitfalls. Whether she is (morally) right or wrong to do what she does now to other men, I feel compelled to "judge" her, or the writer of the story, in that, obviously she makes good money from her trade , BUT she seems to be frittering her life away on a foolish mission of revenge. HIV need NOT be the end of life: and I feel that one owes it to oneself to enjoy the full experience of this life that we have been given so freely and generously by God or whoever/whatever is responsible for its creation. She can be a hooker, make money AND still complete her dream of getting that college degree. But she seems to want revenge for its own sake, which is such a wasteful, futile act. Examples :- Hitler killed 8 mil Jews, but right now we have more Jews in their place - and they actually have more power, financial & political. The latest in a long line of Hutu - Tutsi mass murders has resulted in the Tutsi having more power in that country than ever before. SO whither revenge??!! It never works. You have been handed a raw deal, so what? Get up, face it and give your life some meaning.

And by the way, someone mentioned a photo, and that the girl is a looker: where is the foto?
 
Masikini ama kweli hujafa hujaumbika. Pole sana Zawadi but kuna njia nyingi tu mbona ungewezakupata msaada kuliko kuamua kuua wengine makusudi.

MwanajamiiOne

Siwezi kumlaumu Zawadi kwa kuwa


  1. Ndoto zake za kusomea Banking and Finance UDSM zilikoma pale ambapo alipobakwa na maharamia
  2. Asingebakwa na kupewa mimba na kuambukizwa HIV, hata kama kaka yake aliyekuwa akimtegemea alifariki, jamii ingeweza kumsaidia kutimiza ndoto zake
  3. Hakukuwa na mahala popote pale ambapo Jamii (ndio, Jamii) ilikuwa ikihamasisha juu ya wanawake wanaobakwa kupata ushauri nasaha, hususan pale wanapoambukizwa HIV, ili waweze kuishi kwa matumaini
  4. Uharamia kwenye barabara zetu (hususan pale ambapo ubakaji kwa wanawake unapotokea) unachangiwa na "mfumo dume" ambao Serikali haijaweka kipaumbele kuutokomeza. Hata kama hao wabakaji/maharamia wangekamatwa ni dhahiri kwamba WANGEACHIWA kwani ndani ya Jeshi la Polisi unaingia "sero" bure na ukiwa na pesa "unatoka" - hakuna haki
Kwa wale wakware wanaopenda kwenda kwa akina dada-poa, ujumbe umefika!

./Mwana wa Haki
 
Wanaohimiza matumizi ya condoms ni biashara tu kwani zinahamasisha zaidi ngono.Tufuate maadili ya dini zetu tuepukane na balaa hili.
 
Back
Top Bottom