Nashauri waziri Magufuli ashtakiwe

Nashauri waziri Magufuli ashtakiwe

Malisa Godlisten

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
202
Reaction score
1,588
Habari kubwa kwenye media kwa sasa ni kushinda kesi kwa Wachina &WaVietnam waliokamatwa kwa kile kilichodaiwa uvuvi haramu, mwaka 2009 maarufu kama "samaki wa Magufuli"

Freemedia wanaripoti hivi;

" MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru Wachina wa ‘samaki wa Magufuli' na kuamuru Jamhuri iwarejeshee vitu vyao ikiwemo meli ya Tawaliq 1.

Wachina hao Nahodha wa meli, Hsu Chin Tai na Wakala wa Meli ya Tawaliq 1, Zhao Hanquing waliachiwa kupitia hati ya Nole ya kuwaondolea mashitaka.

Hii ni mara ya pili kwa Wachina hao kuachiwa kwani mara ya kwanza waliachiwa na Mahakama ya Rufaa Machi 28 mwaka huu, walikamatwa tena na kushtakiwa upya kwa mashtaka hayo hayo yaliyofutwa.

Washtakiwa hao walikuwa wakikabiliwa na mashtaka ya uvuvi haramu katika Ukanda wa Uchumi wa Tanzania."

Ningekua Rais wa nchi hii ningemfukuza kazi Magufuli na kumshtaki mahakamani. Alichofanya ni ujinga wa kiwango cha juu kupata kutokea tangu enzi za Pontio Pilato.

Huwezi kufanya siasa kwenye mustakabali wa maisha ya watanzania ili tu upate umaarufu.

Alikuja na Mbwembwe za kukamata meli ya waVietnam, kuwapeleka mahakamani na kuwanyang'anywa samaki wao.

Matokeo yake ni kuwa mahakama imeshindwa kuwatia hatiani. Hivyo wameachiwa huru na Mahakama imeagiza tuwalipe meli yao na samaki zao, vyote vikikadiriwa kuwa jumla ya Tsh.Bil 27.

Meli yenyewe nasikia ilizama. Yaani baada ya kutafuna samaki tukazamisha meli.

Habari zinasema Kuzama kwa meli hiyo kunatokana na Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi kushindwa kuitunza tangu ilipokamatwa Machi 8, 2009 ikiwa na tani 293 za samaki aina ya Jodari wanaodaiwa kuwavua katika Bahari ya Hindi ukanda wa kiuchumi wa Tanzania (EPZ).

Lakini hata hao samaki hatukuwafaidi maana waliishia kugawanywa hovyohovyo tu. Samaki hao wanaokadiriwa kuwa na thamani ya zaidi ya shilingi bilioni mbili wote waligawiwa katika taasisi mbalimbali baada ya Magufuli kudai kuwa Serikali haiwezi kufanya biashara.

Bili.27 tunazotakiwa kuwalipa hao WaVietnam ni fedha nyingi sana. Ni sawa na kulipia mikopo wanafunzi 57,446 (kwa semister moja) au kulipa madai yote ya waalimu nchi nzima.

Imeripotiwa kuwa mwaka huu wanafunzi zaidi ya 28,000 watakosa mikopo kwa sababu serikali imedai haina hela. Lakini hela hizi za kuwalipa wa-Vietnam zingetosha kuwalipia wanafunzi wote waliokosa mkopo mwaka huu na ikabaki chenchi ambayo ingetosha kulipia madai ya waalimu wote nchini.

Lakini hayo yameshindwa kufanyika kwa kosa la mtu mmoja. U did wrong for the expense of your country?? This is very unfair.

Uliingize taifa hasara, kwa makosa yako mwenyewe?? Watoto wetu wakose mkopo, waalimu wasilipwe, dawa zisinunuliwe mahospitalini kisa pesa zimeenda kulipia kesi ya masamaki ya Magufuli.

Masamaki yenyewe tulishindwa kuyapreserve yakaishia kuchina, mwisho wa siku tukagawa kwa magereza na shule za sekondari. Sasa chakula kilichotumika kulisha wafungwa ndo tunakilipia bilioni 27??

Nadhani Maghufuli ashtakiwe... or hizi hela azilipe yeye na familia yake, si kuwabebesha mzigo watanzania kwa kosa alilolifanya binafsi.

JIPU LIMEPASUKA, SIWEZI KUWA ADUI KWA KUSEMA UKWELI.!!

**NB: haya ni mawazo yangu tu.!
 
Media zipo izo mkuu unazosema media zote zinazungumzia hii habari? Manake hata kipeperushi chenu leo hakina hii habari...!
 
Habari kubwa kwenye media kwa sasa ni kushinda kesi kwa Wachina &WaVietnam waliokamatwa kwa kile kilichodaiwa uvuvi haramu, mwaka 2009 maarufu kama "samaki wa Magufuli"

Freemedia wanaripoti hivi;

" MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru Wachina wa ‘samaki wa Magufuli’ na kuamuru Jamhuri iwarejeshee vitu vyao ikiwemo meli ya Tawaliq 1.

Hebu weka jina media hizo kama natujakutana na Tanzania Daima au Nipashe
 
Japo nilikuwa miongoni mwa waliowala samaki wa bure wa Magufuli, lakini naunga mkono kuwa jamaa akamatwe, afilisiwe mali zake, asipewe dhamana na anyang'anywe passport.

SLAA na mke wa mtu hakukamatwa iweje Maghufuli akamatwe?
 
Nilijua watashinda tu kwani kama ilivyo kwenye fani zote Tanzania hatuna mawakili wenye uzalendo wa kweli kulitetea taifa hata kwa kesi nyanya kama hii ambapo taifa lilikuwa na haki iliyo wazi!
Idadi kubwa ya wanasheria na mawakili wa serikali ni waganga njaa tu and nothing more. Shame on them!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Japo nilikuwa miongoni mwa waliowala samaki wa bure wa Magufuli, lakini naunga mkono kuwa jamaa akamatwe, afilisiwe mali zake, asipewe dhamana na anyang'anywe passport.
Tuanze na baba yako au unaonaje mnakosa hoja mnaandika ujinga ujinga tu.
 
Nilijua watashinda tu kwani kama ilivyo kwenye fani zote Tanzania hatuna mawakili wenye uzalendo wa kweli kulitetea taifa hata kwa kesi nyanya kama hii ambapo taifa lilikuwa na haki iliyo wazi!
Idadi kubwa ya wanasheria na mawakili wa serikali ni waganga njaa tu and nothing more. Shame on them!

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hiyo ndiyo mantiki kwa ujumla mahakama yote imeoza kwa rushwa ni bure kabisa.
 
Niliwahi kusema kuwa magufuri is too mechanical mkabisha. Unapoona mwanamume anamsifia mwanamume mwenzake (JK) kupita kiasi/kujikomba ujue mtu huyu ana kasoro. Ngoja wathsmanishe samaki wao na kuwakosesha biashara for that long, time will tell
 
Nilijua watashinda tu kwani kama ilivyo kwenye fani zote Tanzania hatuna mawakili wenye uzalendo wa kweli kulitetea taifa hata kwa kesi nyanya kama hii ambapo taifa lilikuwa na haki iliyo wazi!
Idadi kubwa ya wanasheria na mawakili wa serikali ni waganga njaa tu and nothing more. Shame on them!

Sent from my iPhone using JamiiForums

Wanasheria wote particularly mawakili ni watu wa laana! Money monger, shyster lawyers. Shame on them. Majidai ndio makubwa wakiwa mahakamani na makoti ya mitumba!
 
acha pumba fa.la wewe. yaana magufuli na kujitahidi kote hivi kulitumikia taifa na kwa uzembe uliopindukia wa mahakimu/majaji wetu unataka tena afanyweje? you are not serious.

Habari kubwa kwenye media kwa sasa ni kushinda kesi kwa Wachina &WaVietnam waliokamatwa kwa kile kilichodaiwa uvuvi haramu, mwaka 2009 maarufu kama "samaki wa Magufuli"

Freemedia wanaripoti hivi;

" MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru Wachina wa ‘samaki wa Magufuli' na kuamuru Jamhuri iwarejeshee vitu vyao ikiwemo meli ya Tawaliq 1.

Wachina hao Nahodha wa meli, Hsu Chin Tai na Wakala wa Meli ya Tawaliq 1, Zhao Hanquing waliachiwa kupitia hati ya Nole ya kuwaondolea mashitaka.

Hii ni mara ya pili kwa Wachina hao kuachiwa kwani mara ya kwanza waliachiwa na Mahakama ya Rufaa Machi 28 mwaka huu, walikamatwa tena na kushtakiwa upya kwa mashtaka hayo hayo yaliyofutwa.

Washtakiwa hao walikuwa wakikabiliwa na mashtaka ya uvuvi haramu katika Ukanda wa Uchumi wa Tanzania."

Ningekua Rais wa nchi hii ningemfukuza kazi Magufuli na kumshtaki mahakamani. Alichofanya ni ujinga wa kiwango cha juu kupata kutokea tangu enzi za Pontio Pilato.

Huwezi kufanya siasa kwenye mustakabali wa maisha ya watanzania ili tu upate umaarufu.

Alikuja na Mbwembwe za kukamata meli ya waVietnam, kuwapeleka mahakamani na kuwanyang'anywa samaki wao.

Matokeo yake ni kuwa mahakama imeshindwa kuwatia hatiani. Hivyo wameachiwa huru na Mahakama imeagiza tuwalipe meli yao na samaki zao, vyote vikikadiriwa kuwa jumla ya Tsh.Bil 27.

Meli yenyewe nasikia ilizama. Yaani baada ya kutafuna samaki tukazamisha meli.

Habari zinasema Kuzama kwa meli hiyo kunatokana na Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi kushindwa kuitunza tangu ilipokamatwa Machi 8, 2009 ikiwa na tani 293 za samaki aina ya Jodari wanaodaiwa kuwavua katika Bahari ya Hindi ukanda wa kiuchumi wa Tanzania (EPZ).

Lakini hata hao samaki hatukuwafaidi maana waliishia kugawanywa hovyohovyo tu. Samaki hao wanaokadiriwa kuwa na thamani ya zaidi ya shilingi bilioni mbili wote waligawiwa katika taasisi mbalimbali baada ya Magufuli kudai kuwa Serikali haiwezi kufanya biashara.

Bili.27 tunazotakiwa kuwalipa hao WaVietnam ni fedha nyingi sana. Ni sawa na kulipia mikopo wanafunzi 57,446 (kwa semister moja) au kulipa madai yote ya waalimu nchi nzima.

Imeripotiwa kuwa mwaka huu wanafunzi zaidi ya 28,000 watakosa mikopo kwa sababu serikali imedai haina hela. Lakini hela hizi za kuwalipa wa-Vietnam zingetosha kuwalipia wanafunzi wote waliokosa mkopo mwaka huu na ikabaki chenchi ambayo ingetosha kulipia madai ya waalimu wote nchini.

Lakini hayo yameshindwa kufanyika kwa kosa la mtu mmoja. U did wrong for the expense of your country?? This is very unfair.

Uliingize taifa hasara, kwa makosa yako mwenyewe?? Watoto wetu wakose mkopo, waalimu wasilipwe, dawa zisinunuliwe mahospitalini kisa pesa zimeenda kulipia kesi ya masamaki ya Magufuli.

Masamaki yenyewe tulishindwa kuyapreserve yakaishia kuchina, mwisho wa siku tukagawa kwa magereza na shule za sekondari. Sasa chakula kilichotumika kulisha wafungwa ndo tunakilipia bilioni 27??

Nadhani Maghufuli ashtakiwe... or hizi hela azilipe yeye na familia yake, si kuwabebesha mzigo watanzania kwa kosa alilolifanya binafsi.

JIPU LIMEPASUKA, SIWEZI KUWA ADUI KWA KUSEMA UKWELI.!!

**NB: haya ni mawazo yangu tu.!
 
Ivi uwezo wetu wa kufikilia umefikia apo jamani seriously unataka Magufuri akamatwe kwa lipi?
Ukishindwa kesi TZ wewe utakuwa huna mkwanja.
Nilidhani wa kukamatwa ni wale waliokwapua MEREMETA EPA NA SASA ESCROW
 
Maghufuli hana kosa ktk hili. Mahakama zetu kuanzia mahakimu na wanasheria ni kutafuta maslahi yao binafsi na wamejifunza kwa wanasiasa hakuna uzalendo tena. Nchi hii inakokwenda kubaya pesa kila sehemu inapita tu inanunua haki inadhulumu inaua inatesa inaleta heshima na inamrudisha ------- kuwa rijaali. Lakini historia inasema kweli yakiendekezwa mambo haya balaa litakuja. Tuombe mungu. Pole kwa wote mali ya umma wacha ipotee nani mhusika?
 
Kwa hiyo mkuu unamaanisha mahakama za Tanzania sio tena chombo cha kutoa haki? Ikiwa ndivyo kwanini tuliruhusu kesi kusikilizwa mahali ambapo tunajua haki haitatendeka??
 
Back
Top Bottom