Nashauri serikali isilipe mishahara...

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
8,130
8,351
Badala yake iprovide mahitaji ya watumishi kwa kadiri ya wanavyohitaji kama matibabu, elimu na service zingine ziwe free... Plus other staffs kama nyumba n. K.. . Coz navyoona wanatupa mishahara lakini bado wanaitamani...kama service zote zitapatikana.. Sioni haja ya kupokea mishahara... .
 
Unaandika nini wewe, watu hawana amani wanaongea peke yao tu kisa hakuna increment wala nini na wanakata bodi ya mikopo,hapo familia inakuangalia
 
Naunga mkono hoja! Serikali gani inatoa mshahara halafu inaukata tena juu kwa juu kupitia makato lukuki! Ni bora wasitoe kabisa, watupe huduma tutakazo!
 
naunga mkono hoja, mshahara wanatoa kwa mkono Wa kulia alafu wanaukwapua kwa mkono wa kushoto. bora sasa wasitoe kabisa watupe tu bure mahitaji yetu ya kila mwezi
 
naunga mkono hoja, mshahara wanatoa kwa mkono Wa kulia alafu wanaukwapua kwa mkono wa kushoto. bora sasa wasitoe kabisa watupe tu bure mahitaji yetu ya kila mwezi
Nashukuru kwa kuielewa hoja yangu.. Wanajifanya wanatoa mshahara but in reality wanatupa mshahara hewa mwisho wa siku mtu unabaki unahangaika.. ..nchi ya Sweden asilimia 60 ya mshahara hukatwa kodi but hawajutii makato hayo coz inturn hupata social services zenye ubora 100% kuna wengine badi wanatamani makato yafike 80%..
 
Back
Top Bottom