Nashauri Serikali ichague chanjo ya NovaVax kwani ni chanjo salama na ufanisi wake ni 96%

Hao watu uliwaua wewe?

We mpumbavu nini?

Hizo chanjo ukajidunge wewe na mmeo!
Kuna wengi sana wanazisubiri. Kama ma-idiot kama wewe huzitaki basi tambaeni mbele. Penda usipende zinakuja. Kama unaona uchungu sana kalia chupa tujue umekasirika kweli kweli. Hayoo. Yamebaki yanawayawaya na matunguli yao ya kujifukiza. Ameingia rais mwenye akili na busara!
 
Magufuli saved what? He killed thousands with his bumpking's mind! Afrika Mashariki kuna nchi watu waliokufa wengi kwa corona kama Tanzania? Lakini mwisho na yeye ikamfyeka. BTW lile kombe mlilompa la kuishinda corona amekuachia kweli? Majitu ma-idiot kama wewe ni hasara tupu.
Walikufa wangapi Tanzania kuzidi majirani? Leta idadi
 
Kukosa exposure ukichanganya na elimu ya kukariri ni hatari kwa Taifa letu. Sasa hapa unataka kuelezea nini ewe ''bingwa''. Ukisikia ujinga uliopitiliza ndiyo huu. Mtu amechanjwa na bado watoto wake wanachanjwa na kila aina ya chanjo kutoka Ulaya na wanapougua wanatumia chanjo kutoka huko lakini inapofika suala na chanjo ya corona wanasema wanataka kutuua. Haka siyo wendawazimu ni nini?
Tatizo sio chanjo , Ila ni namna hii chanjo ilivyokuja kwa uharaka huu na namna ambavyo imeleta madhara.
 
Mama yako amechanjwa aina ya m. B. O. O
Ww kama nani uishauri serikali? Acha upumbavu .huo udalali wenu fanyieni pennine sio kwenye afya za watu,
Najiuliza tu ushaona lile nyomi la kwenye mwendokas na hakun mwenye barakoa, ushaenda mabibo sokon asubuh ukaona lile nyomi na hakuna mwenye hizo takataka, nenda kkoo hakuna huo upuuzi ..
L
Kiufupi ni kwamba corona haipo TZ na kama ingekuwepo kwa jinsi tunavoishi tungekufa kama kumbikumbi
 
Ujinga wako wa kuamini conspiracy theories unataka kukufanya kulazimisha watu wengine wote waamini. Wasipoamini ni wajinga. Mmelishwa ujinga na kina Gwajima huko mnaleta sayansi zenu za uchochoroni kwa watu wenye akili. Idiot.
Tangu umekariri consipiracy theory ndiyo umewekeza upumbavu wkaohapo . Juha linakariri maishia. wewe si lvel yangu nimeuambia ngumbaru wewe. Unadhani mimi nasomea mtandaoni kama wewe? Unajifunzia maarifa na kusikiliza story za watu!.
Mwandawazimu wewe achana na mimi. Pumbavu
 
Lugha yako unayotumia inaashiria kitu kimoja: Brain malnutrition with chronological malfunction! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Dawa imeingia kunako....
 
Mtanzania wewe uko vizuri sana:

1. Chanjo huna uwezo wa kutengeneza.
2. Una uwezo wa kutambua ipi ni chanjo bora zaidi.
3. Wewe ndiye unayestahili iliyo bora zaidi.

Kimsingi twaweza kuwa ni vituko kweli kweli!
 
Chanjo inatolewa bure. Umeshasikia au kukutana na neno Covax? Bila shaka hujawahi ndiyo maana unauliza swali kama hilo.
Nauliza tena, hizo chanjo zinanunuliwa kwa kodi zetu au pesa toka mifukoni mwao? Kuhusu COVAX naomba tu ufiche ujinga wako, hakuna mtu anaekupenda zaidi ya mama yako, sembuse hao nguruwe..?! Wakupe bure hivihivi tu, utawapa t*ko kulipa fadhila?, think kidogo tu sio sanaaa
 
Ukisikia mabwege basi wewe ni kiongozi wao. Hiyo misaada mingine mpaka fedha unazopewa kila mwaka kujazia bajeti ya nchi huwa unawalipa kwa kuwapa mtaro wako? Hizo ARV mama yako anazomeza zinakuja kwa kodi ya majini au wananchi wa Tanzania? Ficha ujinga wako.
 
Ficha upumbavu wewe, tangu lini msaada ukalazimishwa?! Dunia hii hakuna beberu atakaekupa msaada, msaada ni jina tu, ila utaulipa hata kwa kugawa shimo hilo, bwege wewe, unaingiza mama kwenye hoja zako za kitaahira; kwao wenyewe wanalia njaa, halafu akupe msaada, anakupenda sana, au unampa kalio?!!
 
Limekuingia, hii ni faraja kwangu. Sasa mama yako anapochukuwa ARV za bure amewapa hao mabeberu?
 
Back
Top Bottom