Nashauri Serikali ichague chanjo ya NovaVax kwani ni chanjo salama na ufanisi wake ni 96%

Kumbe Magufuli alifanikiwa kujaza ujinga watu wengi. Chanjo ni hiari. Hakuna nchi iliyosema chanjo ni lazima. Kama wewe hupendi wako wanaopenda. Usipasue mishipa ya shingo bure kwa ajili ya kujikakamua kubishana na sayansi ambayo nina uhakika hujui lolote. Wewe kama hutaki basi pembeni usilazimishe kila mtu akatae chanjo au nchi ikatae chanjo.
Wewe ndiye hujui kitu. Kama mnachanjwa kwa starehe, tumieni fedha zenu na si kodi yetu. Mkiugua magonjwa yatokanayo na corona, mjitibu wenyewe na si kutuingizia hasara ya kuongeza budget ya kuagiza madawa ya kupambana na athari za chanjo.

Mwenyehekima kuona hatari inakuja na kujlinda bali mpumbavu huingia matatani kwa kukosa ufahamu.

Wenzenu wamegundua hawa watoa kinga ndio watengenezaji wa korona kwa malengo yao halafu leto unategemea wakutengenezee chanjo?

Mnaona wale walioanza kiherehere cha kuchanja watu wao vile sasa wanahangaika na milipuko mikubwa, ukosefu wakinga na madhara zaidi ya kiuchumi?

Unaona vile washelisehli waliingia kichwa kuchukua chanjo wakidhani wanapendwa kumbe wanatakiwa kuisha ili nchi yao ibaki wazi ? Unajua kwa nini wachina wanataka sana africa wakati hawawapendi waafirca?

Wanasayansi wameshajua issue yote ya corona na hizi talalila za chanjo kuwa ni muendelezo wa bio weapon enforcements. Tayari wameshaungana na Mheshimiwa rais wetu mpendwa hayati Magufuli. Angalie hapa.

Ni mpumbavu peke yake atataka kuendelea kuiga mambo waliyoyaacha wengine kwa madhara yake makubwa.

1622271073754.png
 
Arguments za layman hizi. Ule ule ujinga wa mwendazake kusema ni ugonjwa kama magonjwa mengine halafu ikaja kumpeleka akhera. Ingekuwa ugonjwa kama magonjwa mengine ingemuua? Kwa taarifa yako dunia nzima kuna watu hawachanji, na kila mtu ana sababu zake. Lakini kwa uungwana wao hawawezi kuwazuia wengine kuchanja au kuzuia nchi kuagiza chanjo. Wewe kama hutaki, ruksa. Kataa wewe na familia yako lakini usipangie kila mtu.
Wewe acha upumbavu wako. What do you know on covid pandemic and vaccine agenda? Pumbavu kweli kweli tena worse that ngumbaru.
 
Wimbi la tatu la covid litakapoifyeka familia yako na wazazi wako na wazee wako ndo utajua umuhimu wa chanjo...hapo ndo utatia akili
unajibu upumbavu hapa, nani kwakwambia anataka chanjo? Ndio uliloulizwa..., babaake alikufanya nini?
 
Mtanzania wewe uko vizuri sana:

1. Chanjo huna uwezo wa kutengeneza.
2. Una uwezo wa kutambua ipi ni chanjo bora zaidi.
3. Wewe ndiye unayestahili iliyo bora zaidi.

Kimsingi twaweza kuwa ni vituko kweli kweli!
Yaani wewe unastahili kurudi shuleni ukaanze upya kwani naona umesoma ila hujaelimika hata kidogo
Kwa hiyo kutambua kitu ni kizuri au sio kizuri ni lazima ukitengeneze?
  1. Mbona ni rahisi tu kutambua kuwa TV aina ya LG ni bora zaidi ya TV ya Star x nk
  2. Mbona ni rahisi tu kutambua kuwa gari ya IST ni bora kuliko Passo nk
  3. Mbona ni rahisi tu kutambua kuwa Simu ya Samsung ni bora kuliko Tecno na wenzake
Acha kufanya watanzania wote hawana uelewa kama wewe!!!
 
Wewe acha upumbavu wako. What do you know on covid pandemic and vaccine agenda? Pumbavu kweli kweli tena worse that ngumbaru.

Ujinga wako wa kuamini conspiracy theorie unataka kila mtu

Wewe acha upumbavu wako. What do you know on covid pandemic and vaccine agenda? Pumbavu kweli kweli tena worse that ngumbaru.
Ujinga wako wa kuamini conspiracy theories unataka kukufanya kulazimisha watu wengine wote waamini. Wasipoamini ni wajinga. Mmelishwa ujinga na kina Gwajima huko mnaleta sayansi zenu za uchochoroni kwa watu wenye akili. Idiot.
 
Wewe ndiye hujui kitu. Kama mnachanjwa kwa starehe, tumieni fedha zenu na si kodi yetu. Mkiugua magonjwa yatokanayo na corona, mjitibu wenyewe na si kutuingizia hasara ya kuongeza budget ya kuagiza madawa ya kupambana na athari za chanjo.

Mwenyehekima kuona hatari inakuja na kujlinda bali mpumbavu huingia matatani kwa kukosa ufahamu.

Wenzenu wamegundua hawa watoa kinga ndio watengenezaji wa korona kwa malengo yao halafu leto unategemea wakutengenezee chanjo?

Mnaona wale walioanza kiherehere cha kuchanja watu wao vile sasa wanahangaika na milipuko mikubwa, ukosefu wakinga na madhara zaidi ya kiuchumi?

Unaona vile washelisehli waliingia kichwa kuchukua chanjo wakidhani wanapendwa kumbe wanatakiwa kuisha ili nchi yao ibaki wazi ? Unajua kwa nini wachina wanataka sana africa wakati hawawapendi waafirca?

Wanasayansi wameshajua issue yote ya corona na hizi talalila za chanjo kuwa ni muendelezo wa bio weapon enforcements. Tayari wameshaungana na Mheshimiwa rais wetu mpendwa hayati Magufuli. Angalie hapa.

Ni mpumbavu peke yake atataka kuendelea kuiga mambo waliyoyaacha wengine kwa madhara yake makubwa.

View attachment 1801051

Kukosa exposure ukichanganya na elimu ya kukariri ni hatari kwa Taifa letu. Sasa hapa unataka kuelezea nini ewe ''bingwa''. Ukisikia ujinga uliopitiliza ndiyo huu. Mtu amechanjwa na bado watoto wake wanachanjwa na kila aina ya chanjo kutoka Ulaya na wanapougua wanatumia chanjo kutoka huko lakini inapofika suala na chanjo ya corona wanasema wanataka kutuua. Haka siyo wendawazimu ni nini?
 
Wimbi la tatu la covid litakapoifyeka familia yako na wazazi wako na wazee wako ndo utajua umuhimu wa chanjo...hapo ndo utatia akili
Wimbi gani wewe ondoa ujinga wako hapa!

Kafanye udalali kwenye maparachichi huko usituletee mzaha kwenye afya zetu!
 
Kukosa exposure ukichanganya na elimu ya kukariri ni hatari kwa Taifa letu. Sasa hapa unataka kuelezea nini ewe ''bingwa''. Ukisikia ujinga uliopitiliza ndiyo huu. Mtu amechanjwa na bado watoto wake wanachanjwa na kila aina ya chanjo kutoka Ulaya na wanapougua wanatumia chanjo kutoka huko lakini inapofika suala na chanjo ya corona wanasema wanataka kutuua. Haka siyo wendawazimu ni nini?
Exposure yako ni kuchanganua mechi za mpira wa mchangani.
Unapashwa kuongeza elimu kwanza ndipo utoe maoni kwenye huu mjadala. Siyo saizi yako. Nenda shule kama unataka kuchangia masuala muhimu. Hoja yako ya kipumbavu sana.

Endelea kuishi kwa kukariri na elimu yako sifuri. Sorry, kwa heri. Usinitag tena unless unataka kujifunza.

1622279433832.png
 
Kama umechoka kuishi unataka Chanjo kafanyehivo na familia yako, siyo utuletee povu jamvini!
 
kabla sijachanjwa waanze viongozi wote wa serikali na familia zao kwanza mbele ya hadhara
 
Exposure yako ni kuchanganua mechi za mpira wa mchangani.
Unapashwa kuongeza elimu kwanza ndipo utoe maoni kwenye huu mjadala. Siyo saizi yako. Nenda shule kama unataka kuchangia masuala muhimu. Hoja yako ya kipumbavu sana.

Endelea kuishi kwa kukariri na elimu yako sifuri. Sorry, kwa heri. Usinitag tena unless unataka kujifunza.

View attachment 1801221
Magufuli saved what? He killed thousands with his bumpking's mind! Afrika Mashariki kuna nchi watu waliokufa wengi kwa corona kama Tanzania? Lakini mwisho na yeye ikamfyeka. BTW lile kombe mlilompa la kuishinda corona amekuachia kweli? Majitu ma-idiot kama wewe ni hasara tupu.
 
Sayansi gani wapuuzi tu nyinyi hamna lolote!

Mnajificha kwenye sayansi kuhalalisha ukilaza wenu!

Eti sayansi! Sayansi gani!

Hayo machanjo uchwara ndio unaita sayansi?
Haa haa haa. Chanjo nyingine siyo uchwara ila hii tu ndiyo uchwara. Kweli bora kukosa nguo ya kuvaa kuliko kukosa akili.
 
Tofauti na chanjo nyingine hii ni chanjo ya kipekee na salama tofauti na chanjo kama Pfzer, moderna, johnson johnson, na astrazeneca ambazo zimetengenezwa kwa mfumo wa M-RNA technology na Viral vector ambazo zinagusa moja kwa moja mfumo wa mwili wa binadamu mfano, genetics/ dna, na cells

Hii NovaVax imetengenezwa kwa kutumia protein ikiwa ndio chanjo ya kipekee ya covid-19 na ufanisi wake ni asilimia 96 huku pfzer na modena zikiwa na 90

===
Like most of the Covid-19 vaccine candidates, the Novavax candidate requires two shots spaced three weeks apart. But candidate NVX-CoV2373 actually works differently than the other vaccines that have made it this far. It’s a protein subunit vaccine, which means that it uses a lab-made version of the SARS-CoV-2 spike protein. This spike protein alone can’t make anyone sick. But to make sure that the body still generates the protective antibodies against it.

Novavax

How it works: Novavax's Covid vaccine is a "protein subunit vaccine," which contains harmless pieces of the surface spike protein that the coronavirus uses to infect humans. When the body's immune system recognizes the proteins, it starts making antibodies, and can remember how to fight the virus if infected in the future, according to the Centers for Disease Control.

Number of doses required: Two doses, one month apart. The vaccine only requires basic refrigeration.

Novavax

This vaccine has been shown to be effective not only against COVID-19, but also against the mutations that have emerged in Great Britain and, to a lesser extent, South Africa. While the other breakthrough vaccines have been either mRNA or vector platforms, the Novavax vaccine is yet another type, called a protein adjuvant. It is also simpler to make and can be stored in a refrigerator.

Status: Still completing clinical trials

Recommended for: The vaccine is being studied in adults ages 18-84

Dosage: 2 doses, three weeks apart

Common side effects: While the Novavax vaccine is still being studied, early trials have shown no adverse events.

How it works: Unlike the mRNA and vector vaccines, this is a protein adjuvant (an adjuvant is an ingredient used to strengthen the immune response). While other vaccines trick the body’s cells into creating parts of the virus that can trigger the immune system, the Novavax vaccine takes a different approach. It contains the spike protein of the coronavirus itself, but formulated as a nanoparticle, which cannot cause disease. When the vaccine is injected, this stimulates the immune system to produce antibodies and T-cell immune responses.

How well it works: 96.4% efficacy in reducing mild and moderate disease, 100% against severe disease from the original strain of COVID-19
du
 
Kumbe Magufuli alifanikiwa kujaza ujinga watu wengi. Chanjo ni hiari. Hakuna nchi iliyosema chanjo ni lazima. Kama wewe hupendi wako wanaopenda. Usipasue mishipa ya shingo bure kwa ajili ya kujikakamua kubishana na sayansi ambayo nina uhakika hujui lolote. Wewe kama hutaki basi pembeni usilazimishe kila mtu akatae chanjo au nchi ikatae chanjo.
Kuwa hiari si shida, shida ni mnanunua kwa pesa zenu au kwa kodi zetu hizo takataka?
 
Back
Top Bottom