Nashauri Rais Samia amteue Dkt. Slaa kuwa mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Tanzania. Uzoefu wake kisiasa, kukubalika na wapinzani kutambeba

Ina maana unaamini ile tume iko huru tatizo watu.hii nchi ina vijana kama hawa mkosi huu
 
Hajanunuliwa, ni mzalendo sana na wananchi wanamuelewa, ni vile tu Mbowe alipewa bilioni mbili na Lowasa ili amuondoe Slaa asigombee Urais,
Padri babu Slaa alichapwa vibao na ngingi la kihaya na kulazwa nje ya geti...
Hafai kukaa meza moja na wanaume
 
Mwacheni Hayati Dk. Magufuli apumzike. Mnakera sana kila siku kumjadili. Huu mradi wa maji aliuzindua Brussels?

MAGUFULI-4.jpg
 
Back
Top Bottom