Nashauri Paul Makonda awekwe karantini!

Nashauri Paul Makonda awekwe karantini!

Kesho mmeambiwa na Makonda muandae askari wa kukamata watu wasio na kazi maalumu. Hivyo toa amri askari wawe wa kutosha, lakini muandae na madaktari humo mtakapowaweka wazururaji.
Aanze na vijiwe vya Masaki Oyestabay msasani Mikochen kawe kwa majaribioni tuonane ufanisi wake, vipi kuhusu watoto huko uswahilini kujikusanya kucheza pamoja watawakamata watoto au watawakamata wazazi wao
 
Mbuzi wa magangeni wewe
90% ya watetezi wa CCM mitandaoni ni mbumbumbu hawajui kujenga Hoja kazi yao kubwa ni kuleta usumbufu tu ni Aibu kwa chama kikubwa kama CCM kuendelea kuwatumia watetezi vilaza mitandaoni

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
mkuu ulaya hupoteza watu kila mwaka kwa ajili ya flue na kwa kuwa msimu ni huu basi tuchape kazi ndugu zetu wanapitia janga LA asili.
Usinipangie ,narudia usinipangie . Mpangilio wangu wa maisha hayakuhusu na mahawayani wenzako.
 
Back
Top Bottom